Watengeneza Kondomu inayobadilika rangi ili kugundua Magonjwa ya Zinaa
Fahamu kondomu ambayo inaweza kugundua magonjwa fulani ya zinaa kwa kubadilisha rangi,
Kundi la wanafunzi vijana kutoka Isaac Newton Academy huko London walibuni dhana inayoitwa S.T.EYE - kondomu ambayo inaweza kugundua magonjwa fulani ya zinaa kwa kubadilisha rangi.
Wazo hilo lilitokana na kuingiza molekuli ambazo huitikia bakteria zinazohusiana na maambukizi kama ya klamidia, herpes, au kisonono, na kusababisha kondomu kung'aa rangi tofauti kulingana na kinachogunduliwa.
...See more





Post a Comment
Related Discussions...