Maambukizi ya Njia ya Mkojo dalili zake Katika makala hii,nmekupa baadhi ya dalili ambazo ukiziona zinatokea kwenye mwili wako, unaweza kuwa na maambukizi ya kwenye njia ya Mkojo au UTI KUMBUKA; UTI ni kifupi cha maneno haya "Urinary tract Infection"…
MAKALA ZA HIVI PUNDEKucha kutumika kutambua baadhi ya Magonjwa Je, unajua kucha zako zinaweza kutumika kutambua dalili za magonjwa mbali mbali? mfano; Ikiwa kucha nyingi ni nyeupe na zina rims nyeusi, hii inaweza kuonyesha matatizo ya ini, kama vile hepatitis n.k Soma zaidi hapa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEUkweli ni kwamba watu wengi hawanywi maji ya kutosha kama inavyoshauriwa na wataalam wa afya, mbali na kuelimishwa kuhusu madhara mbali mbali ya kutokunywa maji ya kutosha, Unashauriwa kunywa maji angalau wastani wa Lita 2.5 mpaka 3 kwa siku, Ingawa kiwango…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMIGUU KUVIMBA • • • • • • SABABU YA KUVIMBA MIGUU UKIWA SAFARINI NA MATIBABU YAKE Kuna watu wengi hupatwa na hii hali ya kuvimba miguu pale wanaposafiri hususani umbali Mrefu. Safari ambayo huhusisha kukaa kwa Mda mrefu kwenye kiti cha Gari. Ingawaje sio la…
MAKALA ZA HIVI PUNDEJE NI KWELI KWAMBA KULA LIMAO NA NDIMU KUNAKAUSHA DAMU AU HUPUNGUZA DAMU? Hii ni dhana ambao watu wengi wanayo kwenye jamii zetu, lakini soma hapa chini kufahamu ukweli; Matumizi ya Limao au Ndimu,Hii ni jamii ya matunda yenye wingi wa Vitamin C ambavyo husa…
MAKALA ZA HIVI PUNDESababu ya kichwa kuuma asubuhi baada ya kuamka Baadhi ya watu hupatwa na tatizo la maumivu ya kichwa wakati wa asubuh mara tu baada ya kuamka kutoka usingizini, je ni nini chanzo chake? HIZI HAPA NI BAADHI YA SABABU ZA TATIZO HILI - Kuwa na tatizo la kupata s…
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin