Tatizo la Mapigo ya moyo kwenda mbio, chanzo, dalili, na Matibabu:Tachycardia Tachycardia ni tatizo la Mapigo ya moyo kwenda mbio ambapo huhusisha kiwango cha mapigo ya moyo kuwa zaidi ya mapigo 100 kwa dakika. Tatizo hili la Mapigo ya moyo kwenda mbio linaw…
MAKALA ZA HIVI PUNDETatizo la nyama za pua ,chanzo,dalili,Tiba na Madhara Hili ni tatizo ambalo hutokea kwa baadhi ya watu, na tatizo hili huhusisha kuota kwa nyama laini ndani ya kuta za pua na kuzunguka eneo la mwamba wa Pua. CHANZO CHA KUOTA NYAMA PUANI Nyama hizi huweza kuo…
MAKALA ZA HIVI PUNDEElimu zaidi kuhusu Saratani ya Matiti itolewe kwa umma. Mkurugenzi msaidizi wa huduma za Mama na mtoto wa Wizara ya Afya Dkt. Felix Bundala amezitaka taasisi za umma pamoja na mashirika binafsi kuungana kwa pamoja ili kutoa elimu kuhusu saratani ya matiti kwa…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMfahamu Papa Mpya,Leo XIV,jina la kuzaliwa Robert Francis Prevost Papa Leo XIV – Maelezo na Wasifu Jina la kuzaliwa: Robert Francis Prevost Tarehe ya kuzaliwa: 14 Septemba 1955, Chicago, Marekani Rai: Marekani na Peru Elimu na Lugha: Shahada ya His…
MAKALA ZA HIVI PUNDEBreaking News; Papa mpya apatikana Moshi mweupe umeonekana ukifuka kutoka kwenye bomba la moshi katika Kanisa la Sistine Chapel, ni wazi mchakato wa upigaji kura umekamilika na makadinali wamemchagua mrithi wa Papa Francis. Bado hatujui ni nani amechaguliw…
MAKALA ZA HIVI PUNDEM agonjwa 15 hatari ambayo ngozi yako inaweza kukupa tahadhari mapema 1. Saratani ya ngozi (Skin cancer) Ngozi inaweza kuonyesha uvimbe mdogo, vidonda visivyopona, madoa meusi yanayopanuka au kubadilika rangi, au mabadiliko ya alama za kuzaliwa (moles). Sa…
MAKALA ZA HIVI PUNDETanzania yashiriki Mkutano wa Mazingira duniani Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denma…
MAKALA ZA HIVI PUNDEWaziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya afariki dunia Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza kifo cha aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri Mkuu, Cleopa Msuya kilichotokea saa 3 asubuhi ya leo Jumatano, Mei 7, 2025 katika Hosp…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMchakato wa kumchagua Papa Mpya waanza leo, fahamu taratibu nzima Makadinali wenye dhamana ya kupiga na kupigiwa kura wanakutana katika baraza la siri kuchagua Papa mpya. Mkutano huo wa siri unafanyika katika kanisa dogo la Sistina, Mei 7 ukijumuisha makadi…
MAKALA ZA HIVI PUNDESababu za Kichwa kuwasha,Soma hapa kufahamu Kuwashwa kwa kichwa (itchy scalp) ni hali inayoweza kusababishwa na sababu mbalimbali. Hizi hapa ni sababu kuu zinazoweza kusababisha hali hii; 1. Tatizo la Fangasi wa kichwani au kwenye ngozi Hii ni hali ya ng…
MAKALA ZA HIVI PUNDERihanna awa gumzo mtandaoni baada ya kuonyesha Picha akiwa Mjamzito Rihanna na A$AP Rocky wamethibitisha kuwa wanatarajia mtoto wao wa tatu. Taarifa hii imejulikana rasmi katika usiku wa Met Gala 2025, ambapo Rihanna alionekana akiwa mjamzito kwa mara ya kwan…
MAKALA ZA HIVI PUNDEAcid reflux husababishwa na nini,Acid reflux ni nini Tatizo la Gastroesophageal reflux disease (GERD), ni tatizo ambalo huwapata Watu wengi,Tatizo hili hujulikana kwa jina Lingine kama Acid Reflux , Tatizo hili hutokea pale ambapo Acid kutoka Tumboni hupanda…
MAKALA ZA HIVI PUNDEAirtel sasa kutumia Intaneti ya Musk Afrika DUBAI — Kampuni ya Airtel Africa imetangaza leo makubaliano na SpaceX, inayomilikiwa na Elon Musk, kuleta huduma ya Starlink — intaneti ya kasi kubwa kupitia setilaiti — kwa wateja wake barani Afrika. Hii ni baada y…
MAKALA ZA HIVI PUNDEMtoto Hope anayesumbuliwa na ugonjwa wa seli mundu, akabidhiwa kwa Dkt. Godwin Mollel Mtoto Hope Justo Mboya mwenye umri wa miaka minne anayesumbuliwa na ugonjwa wa seli mundu, amekabidhiwa kwa Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na wananchi wa Mkoa wa …
MAKALA ZA HIVI PUNDE
Social Plugin