Afyaclass Bongo Social Mama Atokwa Na Machozi Akiomba Kusadiwa Milioni Moja Mtoto Wake Afanyiwe Upasuaji

Mama Atokwa Na Machozi Akiomba Kusadiwa Milioni Moja Mtoto Wake Afanyiwe Upasuaji

Aisha haji (34) Mkazi wa Mpiji Magohe Jijini Dar es salaam ambaye anapitia katika kipindi kigumu baada ya mtoto wake Shufaa Saidi (11) kusumbuliwa na tatizo la Moyo pamoja na Figo kuharibika hali inayopelekea Kupoteza fahamu mara kwa mara pamoja na kuishi kwa kutumia dawa kila siku.

Akisimulia kwa Uchungu Mamam wa mtoto huyo anasema mpaka sasa ameshauza kila kitu ili kumtibia mtoto wake na bado hajafanikiwa kwa kiasi kilichobaki ili mtoto wake afanyiwe upasuaji ni Milioni moja (1000000).

Akiongea kwa machozi mtoto huyo anasema baba yake amekuwa akimtamkia maneno makali yanayomkosesha tumaini kutokana na matatizo anayoyapitia.

You, Mehreen and others
Hashtag:

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD