Tetemeko kubwa la Ardhi laua na kujeruhi Khulm

Tetemeko kubwa la Ardhi laua na kujeruhi Khulm

#1

Shirika la Marekani la utafiti wa kijiolojia  limesema tetemeko hilo lilipiga eneo la Kusini Magharibi mwa mji wa Khulm.



Tetemeko hilo pia limepiga kina cha kilomita 28 ardhini na karibu na Mazar-e Sharif, mji ulio na karibu watu 523,000.

Shirika la kitaifa la usimamizi wa majanga huko Afghanistan limesema litatoa baadae taarifa kuhusiana na vifo zaidi na hasara ya janga hilo.

Shirika la habari la Reuters halikuweza kuthibitisha ukubwa wa hasara ya tetemeko hilo kwa wakati lilipotokea. Video za juhudi za kuwaokoa watu waliokuwa wamenasa chini ya vifusi zilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii. 

Changia Mada hapa(Reply)


image quote pre code