Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, amchakaza mpinzani wake kutoka Nigeria, Eribo
Bondia nyota wa Tanzania, Hassan Mwakinyo, ameendeleza ubabe baada ya kushinda kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake kutoka Nigeria, Eribo, katika pambano lililofanyika usiku wa leo kwenye Uk…