Kuna aina mbili za vidonge vya majira ni zipi?
Ndiyo, vidonge vya uzazi wa mpango (vinavyojulikana pia kama "vidonge vya majira") kwa ujumla vimegawanyika katika aina mbili kuu: 1.Vidonge vyenye homoni mbili (Combined Oral Contrace…
Ndiyo, vidonge vya uzazi wa mpango (vinavyojulikana pia kama "vidonge vya majira") kwa ujumla vimegawanyika katika aina mbili kuu: 1.Vidonge vyenye homoni mbili (Combined Oral Contrace…
Je,Ni Sawa Mwanaume Kumsindikiza Mke wake Kliniki? Je, Ni Sawa Mwanaume Kumsindikiza Mke wake Kliniki? Naombeni majibu wadau kwenye hili.!!
Mdomo wangu lipsi za chini ni mwekundu,na unakauka mara kwa mara,naombeni ushauri juu ya hii hali
Dalili za mimba ni zipi? Hebu nielewesheni wadau,mana sielewi, Je ni Period kuacha kutoka? au ni zipi?
Napenda Kufahamu Dalili kuu za Ugonjwa huu wa Ebola,maana nasikia sana saivi unasumbua Congo, Lakini pia unasambaaje?
Matumizi sahihi ya dawa ni yapi? Hili ni Swali ambalo wafwatiliaji wengi wa afyaclass wamekuwa wakituuliza,na wengine huchanganyikiwa zaidi pale ambapo wanaambiwa; Tumia Dawa,asubuh,mchana na Ji…
Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia? Swali hili Naomba kupata Ufafanuzi..
Naitwa Joyce Temba kutoka Iringa,Naona Saivi kuna habari zinasambaa kuhusu kitu kinaitwa HantaVirus, ni nini hiki? na pia napenda kujua; Kuna Tofauti Gani kati ya HantaVirus na Corona Virus?
Naitwa Merina kutoka Dodoma,asante sana kwa Jukwaa hili,Mimi nina Swali, Naomba Ufafanuzi juu ya hili, Kuziba Mishipa ya Damu ni Kitu gani? Naomba Kueleweshwa