Asilimia 99% ya huduma za mifupa zinapatikana hapa nchini
TANZANIA KUWA KITOVU CHA TIBA UTALII Na. WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa ma…