Kampeni ya chanjo Kitaifa dhidi ya Surua/rubella kuanza Februari 15 hadi18, 2024
Kampeni ya chanjo Kitaifa dhidi ya Surua/rubella kuanza Februari 15, 2024 hadi Februari 18, 2024. Watoto zaidi ya milioni 8 nchini kupatiwa chanjo ya surua na rubella Serikali kupitia Wizara ya…