Head

Discussions

🔥 MJADALA WA LEO
Neema Mtoa Mada
Je, Ni Sawa Mwanaume Kumsindikiza Mke wake Kliniki? Naombeni majibu wadau kwenye hili.!!

Angalizo utoaji wa Dawa za Semaglutides,baada ya dawa bandia kuongezeka

Hii ni notisi ya kwanza rasmi iliyotolewa na  WHO  baada ya kuthibitisha baadhi ya ripoti hizo. Katika  taarifa  yake kwa vyombo vya habari WHO imeeleza kuwa tahadhari hiyo ni kwa ajili ya makun…

Faida za karafuu,Soma hapa kufahamu

Faida za karafuu,Soma hapa kufahamu Katika Makala hii tumekuandalia faida za karafuu ambazo pengine ulikuwa huzijui kabsa, Kwa kweli, utafiti unaonyesha kwamba karafuu inaweza kuwa na manufaa ka…

Mtu mmoja amefariki, Na 5 wamelazwa hospitalini huku Kipindupindu kikienea katika Jimbo la Ogun,NIGERIA

Kipindupindu kimegharimu maisha ya mwanamke mwenye umri wa miaka 62 huko Ijebu-Igbo, eneo la Serikali ya Mtaa ya Ijebu Kaskazini katika Jimbo la Ogun,Nchini Nigeria. Mwanamke aliyefariki aliamb…

Kuna zaidi ya aina 700 za bakteria zinazojulikana Mdomoni

Je,Wajua Mdomoni Kuna zaidi ya aina 700 za bakteria zinazojulikana? Fahamu Mdomoni,Kuna zaidi ya aina 700 za bakteria zinazojulikana, pamoja na vimelea vingine kama vile, virusi na protozoa. Viu…

Story: Tatizo la Fistula ya uzazi na Bi. Mbonimpa

Story: Tatizo la Fistula ya uzazi na Bi. Mbonimpa Bi. Mbonimpa ambaye enzi za ujana wake alikumbwa na tatizo la Fistula ya uzazi anaeleza kuwa alihisi kifo kinakaribia siku aliyoshikwa na uchun…

Mahujaji 14 wa Hajj kufariki dunia kisa joto kali

Mahujaji 14 wa Hajj kufariki dunia kisa joto kali Takriban raia 14 wa Jordan wamefariki dunia wakati wa ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia kutokana na joto kali, maafisa wamesema. Wizara ya mamb…

Kujisaidia Choo chenye Makamasi,chanzo,dalili na Tiba

Kujisaidia Choo chenye Makamasi,chanzo,dalili na Tiba Je,unashangaa wakati wa kujisaidia unaona choo chako kimechanganyika na vitu kama Makamasi?, Sababu ya hili ni nini? Sehemu nyingi za mwili …

kukosa ladha ya chakula mdomoni

kukosa ladha ya chakula mdomoni Kukosa ladha ya chakula mdomoni ni tatizo ambalo kwa kitaalam hujulikana kama Ageusia, ikiwa na maana Loss of Sense of Taste. Tatizo hili huweza kusababishwa na s…

Chuchu kutoa maziwa ni dalili ya nini

Chuchu kutoa maziwa ni dalili ya nini Chuchu kutoa maziwa inaweza kuwa dalili ya ujauzito au inaweza kutokea kwa sababu ya mabadiliko ya homoni au matibabu fulani. Katika Makala hii tunajadili t…

Load More Posts That is All