Showing posts with label huduma za KIBINGWA. Show all posts
Showing posts with label huduma za KIBINGWA. Show all posts

Wagonjwa wengi wanastahili huduma za KIBINGWAAfyaclass Forum •

WAGONJWA WENGI WANASTAHILI HUDUMA ZA KIBINGWA

Na WAF, Ikungi-Singida

Wakati mahitaji ya huduma za afya zinazidi kuongezeka, wagonjwa wengi katika Wilaya ya Ikungi wanaonekana kustahili na kuhitaji huduma za kibingwa.

Hayo yamebainishwa na daktari bingwa wa magonjwa ya ndani Dkt. Antony Abraham ambapo ameeleza kuwa mahitaji ya huduma za kibingwa yanazidi kuongezeka katika jamii, huku akiwa amewaona wagonjwa zaid ya 70

Aidha, Dkt. Abraham ameelezea umuhimu wa kuwa na kampeni endelevu ya madaktari bingwa katika ngazi ya halmashauri na wilaya ili kukabiliana na mahitaji makubwa ya huduma za kibingwa.

Pia, amesema, hali hiyo itasaidia kuhakikisha kila mgonjwa anapata matibabu yanayostahili na yanayolingana na mahitaji yake.

Mwisho.

Wagonjwa wengi wanastahili huduma za KIBINGWA
0 Comment
Notification
Karibu Afyaclass Forum Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Forum ASANTE.
UNDERSTOOD