Uingereza:Unywaji wa pombe, ambao unaweza kuharibu ubongo wa watoto
Uingereza yaongoza matumizi ya Pombe kwa Watoto. Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu ya watoto wa umri wa miaka 13 nchini Uingereza wamekunywa pombe, na kuifanya nchi…