Atolewa uvimbe wa kilo tano tumboni alioishi nao miaka 10
Atolewa uvimbe wa kilo tano tumboni alioishi nao miaka 10 “Nimezaa watoto 11 lakini mtoto wangu wa mwisho niliyemzaa mwaka 2010 nilikuwa nipoteze maisha, maana nilitokwa na damu nyingi sana, nik…