Afyaclass Bongo Social DALILI ZA MTU MWENYE UPUNGUFU WA VITAMIN B2

VITAMIN B2

• • • • • •

DALILI ZA MTU MWENYE UPUNGUFU WA VITAMIN B2


Mtu mwenye dalili zifuatazo na hasa akiwa anasumbuliwa sana bila ya mafanikio yeyote basi  anaweza akawa na upungufu wa vitamin B2


1) ulimi laini usokua na vile vinundunundu au ulimi wenye upara


2) ulimi ambao unauma na kuvimba (glossitis)


3) kuvimba na kuuma mdomoni kwa ndani (stomatitis)


4) koo kuuma,kuvimba,kukereketa na kuwasha (sore throat, hyperemia of pharyngeal mucous membranes)


5) kuvimba lips za mdomo (cheilitis)


6) kuvimba maeneo laini ya mwili (edema of mucous membranes)

cr:Dr.mathew




You, Mehreen and others

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD