UGONJWA WA PELLAGRA(chanzo upungufu wa Vitamin B3)

UGONJWA WA PELLAGRA(chanzo upungufu wa Vitamin B3)

#1

VITAMIN B3

• • • • • •

UGONJWA WA PELLAGRA(chanzo upungufu wa Vitamin B3)

Pellagra ni ugonjwa utokanao na upungufu wa vitamin B3 

Dalili za pellagra ni kama ifuatavyo

1) kuwashwa ngozi hasa ukiwa maeneo yenye mwanga (photosensitive pigmented dermatitis)

2) kuharisha mara kwa mara kusikoeleweka (diarrhea)

3) kusahau sahau mara kwa mara kusikoeleweka (dementia)

4) kifo

#Dr.mathew

Changia Mada hapa(Reply)

image quote pre code