Uliza / Post Makala(New Post)

Imepokelewa!

Asante sana. Posti yako imetumwa na itafanyiwa review hivi punde.

AFYA TIPS

• • • • • 

MADHARA YA KEMIKALI YA CHROMIUM(majibu)


MAJIBU YA SWALI LILILOPITA👇


kemikali ya chromium ambayo hutumiwa sana katika masula ya uchomeleaji wa vyuma(weldering) inapunguza utengenezwaji wa  mbegu (spermatogenesis) na inapelekea kusinyaa na kupunguza uwezo wa pumbu kufanya kazi (testicular atrophy)


wengi mmejaribu vizuri lakini hakuna aliepatia jibu sahihi. Tuendelee kua pamoja kujifunza mengi.. Elimu haina mwisho..

#Dr.mathew






...See more

DISCUSSIONS BOX(MAONI)|REPLY

Related Discussions...