Afyaclass Bongo Social Mwimbaji Michael Bolton agunduliwa kuwa na uvimbe kwenye ubongo(brain tumor)

Mwimbaji Michael Bolton agunduliwa kuwa na uvimbe kwenye ubongo(brain tumor).

Mwimbaji Michael Bolton amefichua kuwa aligundulika kuwa na uvimbe kwenye ubongo na kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya tatizo hilo,

Mwimbaji na mtunzi huyu mahiri wa miaka ya 80 na 90 alisema alifanyiwa upasuaji huo kabla ya msimu wa likizo ya mwaka 2023, baada ya kugundua uvimbe huo.

Bolton aliongeza kuwa suala la afya lilileta “changamoto zisizotarajiwa,” lakini upasuaji ulifanikiwa na anaendelea kupata nafuu nyumbani, ambapo anahisi upendo na msaada kutoka kwa marafiki na familia.

Mwimbaji huyo ambaye alisema hataki kuwakatisha tamaa mashabiki na shoo zilizoahirishwa, alifichua kwamba anahitaji kutumia wakati na nguvu zake kupata nafuu na atarejea jukwaani hivi karibuni.

You, Mehreen and others
Hashtag:

WEKA MAONI HAPA(Reply)

Notification
Karibu Afyaclass Bongo Social Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Bongo Social ASANTE.
UNDERSTOOD