Unyanyasaji mtandaoni dhidi ya wanawake Waongezeka duniani kote,AI yahusishwa
Katika dunia ambayo tayari takribani mwanamke mmoja kati ya watatu hupitia ukatili wa kimwili au kingono, kuenea kwa teknolojia za Akili Mnemba AI, kumeongeza kwa kiasi kikubwa wigo, kasi na uka…