Head

Hali ya Mtoto kuzaliwa na Vidole Vinne Pekee badala ya Vitano

Hali ya Mtoto kuzaliwa na Vidole Vinne Pekee badala ya Vitano Baadhi ya watoto huzaliwa na tofauti za kimaumbile kwenye mikono au vidole(congenital limb differences), hali inayojulikana kama kas…

Mtoto akimeza sarafu, jambo hili ni dharura ndogo ya kitabibu, na hatua za kuchukua

Mtoto akimeza sarafu , jambo hili ni dharura ndogo ya kitabibu , na hatua zinazofuata zinategemea hali ya mtoto na ukubwa wa sarafu. Hapa kuna hatua za kufuata:  1. Kwanza, tulia na tathmini hal…

Unachopaswa kufanya baada ya mtoto kumeza Sarafu

Watoto wadogo huwa na tabia ya kuweka vitu mdomoni, hata visivyofaa. Hili ni jambo linalowatia wazazi wengi wasiwasi, kwani linaweza kuwa hatari kwa maisha ya mtoto. Mtoto mmoja mwenye umri wa m…

Mama aweka rekodi ya dunia kujifungua Mtoto mwenye kilo 6

Mama mmoja wa miaka 40 kutoka Florida ameandika historia baada ya kuzaa mtoto mkubwa zaidi kwenye hospitali ya Mt.. Joseph’s-South. Daniella Hines alijifungua mwanae, Annan, tarehe 3 Septemba, a…

Umuhimu Wa Kumfanyia Mtoto Massage

UMUHIMU WA KUMFANYIA MTOTO MASSAGE Unaweza ukashangaa kwamba hivi hii nayo inafaida kwa mtoto, Ila ukweli ni kwamba kumfanyia mtoto massage ya mwili mara kwa mara kuna faida, Faida hizo ni pamo…

Shida ya Ulimi kufunga au Tongue tie kwa Watoto wadogo

Shida ya Ulimi kufunga au Tongue tie kwa Watoto wadogo Kufunga ulimi au kuunganishwa kwa Ulimi yaani tongue tie, kwa jina lingine hujulikana kama ankyloglossia ni hali inayotokea na kuonekana wa…

Mtoto huanza kukojoa baada ya Muda gani toka azaliwe? Fahamu hapa

Mtoto huanza kukojoa baada ya Muda gani toka azaliwe? Fahamu hapa Wapo wazazi ambao wamekuwa na wasiwasi kuhusu swala la watoto wao kutokukojoa toka wazaliwe, je hii ipoje? Watoto wachanga wanao…

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Bila Sehemu Ya Haja Kubwa,Chanzo,Dalili Na Tiba

TATIZO LA MTOTO KUZALIWA BILA SEHEMU YA HAJA KUBWA,CHANZO,DALILI NA TIBA Tatizo hili huweza kutokea kwa baadhi ya watoto,na tafiti zinaonyesha kwamba,tatizo hili hutokea kwa watoto wa jinsia ya…

Dalili za mtoto kulawitiwa,ukatili wa kijinsia kwa watoto

Dalili za mtoto kulawitiwa,ukatili wa kijinsia kwa watoto Fahamu kuhusu Dalili za mtoto kulawitiwa kupitia makala hii,ukatili wa kijinsia kwa watoto. Ukatili wa kijinsia kwa watoto ikiwemo Mtoto…

Chanzo cha gesi tumboni kwa mtoto anayenyonya

CHANZO CHA GESI TUMBONI KWA MTOTO ANAYENYONYA fahamu baadhi ya sababu ambazo huweza kusababisha tatizo la Gesi tumboni kwa mtoto wako anayenyonya, je wajua tatizo la gesi tumboni huweza kusabab…

Mambo ya kuzingatia kwenye utunzaji wa Kitovu cha Mtoto mchanga

Mambo ya kuzingatia kwenye utunzaji wa Kitovu cha Mtoto mchanga MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE KITOVU CHA MTOTO BAADA YA KUZALIWA Baada ya mama kujifungua kitovu cha mtoto hukatwa na kutenganisha m…

Mtoto kuzaliwa na uzito mdogo,chanzo chake

Mtoto kuzaliwa na uzito mdogo,chanzo chake: Kwa Mujibu wa shirika la Afya Duniani(WHO); Mtoto huzaliwa na Uzito mdogo(Low birth weight) ikiwa amezaliwa na Uzito chini ya Grams 2500(< 2500 …

Tatizo La Mtoto Kuzaliwa Na Kichwa Kikubwa

TATIZO LA MTOTO KUZALIWA NA KICHWA KIKUBWA     KICHWA KIKUBWA  KWA MTOTO Imani Potofu: Huu ni Ugonjwa kama magonjwa mengine wala sio uchawi. Kitaalam huitwa Hydrocephalus.✍️ Hydrocephalus ni mk…

Chanzo cha tatizo la Mtoto mchanga Kukosa Choo na Tiba Yake

Kama huoni mtoto wako akijisaidia kabsa,hiki ndyo chanzo cha Mtoto mchanga kukosa choo. Chanzo cha tatizo la Mtoto mchanga Kukosa Choo na Tiba Yake Baada ya  mtoto kuzaliwa huanza kunyonya mazi…

MTOTO MCHANGA KUKOJOA DAMU,CHANZO NA TIBA YAKE

MTOTO MCHANGA KUKOJOA DAMU,CHANZO NA TIBA YAKE Kwenye wiki ya kwanza baada ya mtoto kuzaliwa, Mama huweza kuona vidamu damu kwenye diapers wakati anamsafisha mtoto, Lakini mara nyingi sio kwamb…

Madhara na namna ya kutibu tatizo la kupinda nyayo kwa watoto

Madhara na namna ya kutibu tatizo la kupinda nyayo kwa watoto Nyayo kupinda ni tatizo linaloweza kumfanya mtoto kushindwa kucheza na wenzake na kushindwa kufanya vizuri darasani.Matibabu ya map…

MENO YA PLASTIC KWA WATOTO(Chanzo na matibabu yake),NATAL TEETH/BABY TEETH

MENO YA PLASTIC KWA WATOTO(Chanzo na matibabu yake),NATAL TEETH/BABY TEETH Meno ya plastic ni meno ambayo mtoto anazaliwa nayo, meno haya kwa lugha nyingine hujulikana kama Natal Teeth, na wengi…

KITOVU CHA MTOTO KUTOA MAJI,CHANZO NA TIBA

KITOVU CHA MTOTO KUTOA MAJI,CHANZO NA TIBA Baada ya mtoto kuzaliwa, mtoa huduma hukata kitovu cha mtoto yaani umbilical cord kisha kuacha kipande kidogo sana ambacho hukauka na kudondoka chenye…

Mtoto kutapika baada ya kula,chanzo na Tiba yake

Mtoto kutapika baada ya kula,chanzo na Tiba yake Baadhi ya watoto wanapata shida hii ya kutapika kila wakipewa maziwa au chakula,lakini hawana shida nyingine yoyote kama vile Homa n.k Je hali h…

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE)

SHINGO YA MTOTO KULEGEA(CHANZO CHAKE) Mabadiliko ya Watoto wengi huanza kwenye miezi mitatu ya Mwanzo wakati ambapo Shingo ya mtoto huanza kuimarika na kuwa na nguvu ya kutosha ili kuweza kuinu…

Load More Posts That is All