Mdomo kupasuka shida nini?
Mdomo kupasuka shida nini?,naomba ufafanuzi juu ya hili
Je,Ni Sawa Mwanaume Kumsindikiza Mke wake Kliniki? Je, Ni Sawa Mwanaume Kumsindikiza Mke wake Kliniki? Naombeni majibu wadau kwenye hili.!!
Hivi Ukitaka kupata hela unafanyaje? Swali kutoka kwa Mdau,Msaidie kumjibu
Ukiambiwa "Nani kama Mama",unaelewaje Kauli hii? tupe mtazamo wako
Gari la rais wa marekani ni gari aina gani? Kwanini wengine wanasema ni gari hatari sana?.....
Teknolojia ni nini? Teknolojia ni matumizi ya maarifa ya kisayansi, ubunifu na vifaa ili kurahisisha kazi, kutatua matatizo na kuboresha maisha ya binadamu. Teknolojia inaweza kuwa vifaa, mifum…
mafanikio ni nini? Mafanikio ni hali ya kufikia malengo au kupata matokeo mazuri katika maisha, kazi, biashara, elimu, au jambo lolote unalolifanya. Kwa kifupi, mafanikio ni kutimiza kile unac…
Hatua Muhimu za Kuanzisha Biashara Ndogondogo kwa Mafanikio Kuanzisha biashara ndogondogo ni ndoto ya watu wengi Tanzania, lakini si kila anayefungua biashara anafanikiwa kudumu sokoni. Mafanik…
Mdomo wangu lipsi za chini ni mwekundu,na unakauka mara kwa mara,naombeni ushauri juu ya hii hali
Dalili za mimba ni zipi? Hebu nielewesheni wadau,mana sielewi, Je ni Period kuacha kutoka? au ni zipi?
Napenda Kufahamu Dalili kuu za Ugonjwa huu wa Ebola,maana nasikia sana saivi unasumbua Congo, Lakini pia unasambaaje?
Matumizi sahihi ya dawa ni yapi? Hili ni Swali ambalo wafwatiliaji wengi wa afyaclass wamekuwa wakituuliza,na wengine huchanganyikiwa zaidi pale ambapo wanaambiwa; Tumia Dawa,asubuh,mchana na Ji…
Hivi Ukiambiwa Dawa hii kunywa Asubuh na jion maana yake,ni muda gani wa kutumia? Swali hili Naomba kupata Ufafanuzi..
Wananiita jina Maarufu Black Mamba kutoka Geita,Nauliza hivi ni Jinsi gani ya kupata pesa mtandaoni?
Naitwa Joyce Temba kutoka Iringa,Naona Saivi kuna habari zinasambaa kuhusu kitu kinaitwa HantaVirus, ni nini hiki? na pia napenda kujua; Kuna Tofauti Gani kati ya HantaVirus na Corona Virus?
Naitwa Merina kutoka Dodoma,asante sana kwa Jukwaa hili,Mimi nina Swali, Naomba Ufafanuzi juu ya hili, Kuziba Mishipa ya Damu ni Kitu gani? Naomba Kueleweshwa