Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga,Miloud Hamdi ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri

Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga  ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kip…

Load More Posts That is All