Bunge La Tanzania Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Leo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza jana kuwa Leo tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa na shug…