Head

CCM yaahidi ajira mpya 5,000 sekta ya afya, ajira 7,000 sekta ya elimu.

CCM yaahidi ajira mpya 5,000 sekta ya afya, ajira 7,000 sekta ya elimu. CHAMA Cha Mapinduzi ( CCM) kimejinasibu kuimarisha sekta ya elimu na afya, ambapo katika miaka mitano ijayo kimeahidi kuto…

Ratiba ya vikao vya Kitaifa vya Chama,uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM Yatolewa

Ratiba ya vikao vya Kitaifa vya Chama,uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM Yatolewa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa taarifa kuwa ratiba ya vikao vya Kitaifa vya Chama, vitakavyofanyika chini ya Mweny…

Makada 24 wajitokeza kumrithi Ndugai Kongwa

Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo hi…

Polepole ajiuzulu Ubalozi, Amos Makalla atoa neno

Humphrey Polepole, amejiuzulu Ubalozi wa Cuba. Kwa mujibu wa barua iliyosambaza jana kwenye mitandao yake ya kijamii, aliandika kuwa amefikia uamuzi huo baada ya tafakari ya muda mrefu. "…

Watu 20,000 CCM wajitokeza kuchukua fomu nafasi Udiwani na Ubunge

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, Amos Makalla. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema waliochukua fomu kuomba ridhaa ya ubunge kupitia majimbo Tanzania Bara na Visiwani Zanzibar …

Majaliwa aahirisha kugombea Ruangwa 2025

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, hatogombea tena Ubunge wa Ruangwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kama alivyoahidi mara kadhaa ikiwemo juzi akiwa Bungeni, chan…

Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo

Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).…

Jesca Magufuli achukua form ya Ubunge Viti Maalum

Jesca Magufuli ambaye ni Mtoto wa Rais wa awamu ya tano Hayati Dr. John Pombe Magufuli, leo June 28 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Viti Maalum kupitia Umoja wa Vijana w…

Load More Posts That is All