Mmoja wa waigizaji kipenzi wa filamu za Kibabe ni Billy Drago
FILAMU za ubabe haziwezi kunoga kama hakuna mwigizaji mahiri anayekuwa akitoa upinzani mkali kwa kinara mkuu yaani ‘steringi’ japo huwa hauawi. Hii ndio hufanya mashabiki kuwapenda waigizaji wa…