Head

Trump: Mazungumzo na Iran Bado Magumu, Lakini Matumaini Yapo

Trump: Mazungumzo na Iran Bado Magumu, Lakini Matumaini Yapo Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema juhudi za kufikia makubaliano kati ya Marekani na Iran bado zinakumbana na changamoto kubwa …

Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima Urusi, Apongezwa kwa Mchango Wake wa Uongozi

Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima Urusi, Apongezwa kwa Mchango Wake wa Uongozi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima na Chuo Kikuu c…

Rais samia awasili urusi

Rais samia awasili urusi  Rais Samia na Putin Wajadili Ushirikiano Mpya Kati ya Tanzania na Urusi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameendeleza juhudi za kuimarisha …

Tanzania msimamo wake ni uleule wa kutofungamana na upande wowote

Tanzania msimamo wake ni uleule wa kutofungamana na upande wowote WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema  Tanzania inaendelea kudumisha m…

Viongozi wa Iran Waingia Tahadhari Kubwa Baada ya Vitisho vya Mashambulizi Mapya

Viongozi wa Iran Waingia Tahadhari Kubwa Baada ya Vitisho vya Mashambulizi Mapya Viongozi wakuu wa Iran wameingia katika hali ya tahadhari kubwa ya kiusalama kufuatia hofu ya mashambulizi mapya…

Tinubu Akiri Ugumu wa Maisha Nigeria, Asema Naye Amepungua Uzito

Tinubu Akiri Ugumu wa Maisha Nigeria, Asema Naye Amepungua Uzito Rais wa Nigeria, Bola Tinubu, amesema kuwa mageuzi ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali yake tangu alipoingia madarakani Mei 202…

Trump Aionya Iran: “Muda Unakwisha” Wakati Mazungumzo ya Amani Yakikwama

Trump Aionya Iran: “Muda Unakwisha” Wakati Mazungumzo ya Amani Yakikwama Rais wa Marekani Donald Trump ametoa onyo jipya kali kwa Iran akisema kuwa “muda unakwisha” huku mazungumzo ya amani kat…

Nicki Minaj Afunguka Kumkubali Trump, Asema Mastaa Wengi Wanaogopa Kusema Ukweli

Nicki Minaj Afunguka Kumkubali Trump, Asema Mastaa Wengi Wanaogopa Kusema Ukweli Msanii maarufu wa Hip Hop Nicki Minaj amezua mjadala mkubwa duniani baada ya kuweka wazi msimamo wake wa kumuung…

Museveni Aapishwa Tena, Aanza Muhula wa Saba Madarakani Uganda

Museveni Aapishwa Tena, Aanza Muhula wa Saba Madarakani Uganda Rais Yoweri Museveni ameapishwa tena kuendelea kuiongoza Uganda katika muhula mwingine wa Urais, hatua inayoongeza rekodi yake ya …

Rais Samia Suluhu Hassan, akimpokea mgeni wake rasmi, Rais wa Kenya, William Ruto

Rais Samia Suluhu Hassan, akimpokea mgeni wake rasmi, Rais wa Kenya, William Ruto Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempokea mgeni wake rasmi, Rais wa Jamhuri ya Ken…

Mfahamu Mtu anayeshukiwa Kufyatua Risasi kwenye hafla ya White House Marekani

Mfahamu Mshukiwa wa Tukio la Risasi Katika Hafla ya White House Marekani Mamlaka nchini Marekani zimemtambua mtu anayehusishwa na tukio la kufyatua risasi lililotokea wakati wa hafla ya Waandis…

Rais Donald Trump asema kama angejua Uzito na hatari ya Urais asingegombea

Trump Aeleza Uzito na Hatari ya Kazi ya Urais Baada ya Tukio la Usalama Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa angejua mapema uzito na hatari ya kazi ya urais, huenda asingegombea nafasi …

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbali mbali

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbali mbali Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi  kwenye nafasi mbali mbali Serikali…

Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025

Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025 imesema baadhi ya wanasiasa na wanaharakati walitumia changamoto…

Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam

Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha…

Breaking:Mwigulu nchemba waziri Mkuu wa Tanzania

Mwigulu nchemba waziri Mkuu wa Tanzania Mbunge wa Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameteuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amb…

Bunge La Tanzania Kumthibitisha Waziri Mkuu na Kumchagua Naibu Spika Leo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu, ametangaza jana kuwa Leo tarehe 13 Novemba 2025, Bunge la 13 katika Mkutano wa Kwanza, Kikao cha Tatu, litakuwa na shug…

Tchiroma Bakary ampa Rais Paul Biya masaa 48 kuachilia huru watu wote waliokamatwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 12

Yaoundé, Cameroon – Issa Tchiroma Bakary, mgombea wa upinzani ambaye pia amejitangaza mshindi wa uchaguzi wa rais, amempa Rais Paul Biya na serikali yake masaa 48 kuachilia huru watu wote waliok…

Zungu atangazwa Mshindi wa Kura za Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka Mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambapo anakwenda kuwa Spika wa tisa wa Bun…

Mwandishi habari wa Uingereza kuachiliwa kutoka kizuizini Marekani

Mwanahabari wa Uingereza Sami Hamdi anatazamiwa kuachiliwa kutoka kizuizini nchini Marekani wiki mbili baada ya kuzuiliwa na Idara ya uhamiaji, familia yake ilisema Jumatatu. Idara ya Uhamiaji n…

Load More Posts That is All