Showing posts with label Homoni ya testosterone. Show all posts
Showing posts with label Homoni ya testosterone. Show all posts

Kumwaga Mbegu au Manii Ukiwa umelala huzuia Saratani ya Kibofu?Afyaclass Forum •

Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya kibofu cha mkojo inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu.

Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume – yaani majimaji ambayo hubeba manii wakati wa mshindo.

Watafiti kwa muda mrefu wamekuwa wakijiuliza kuhusu athari za mambo ya ngono kwenye saratani ya tezi dume. Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya saratani ya kibofu?

Kuna ushahidi wa kuunga mkono swali hili. Utafiti uliofanywa katika kipindi cha miaka 33 iliyopita ulionesha kuwa tafiti saba kati ya 11 – ziliona kuna manufaa ya kumwaga mbegu dhidi ya saratani ya tezi dume.

Vile vile, kumwaga manii kunaweza kuogeza kinga ya mwili ya kibofu na kupunguza hatari ya maambukizi – ambayo ndiyo chanzo cha kukuwa kwa saratani.

Kumwaga mbegu za kiume pia kunaweza kupunguza shughuli za mfumo wa neva, na huzuia seli fulani za kibofu kugawanyika, na kupunguza hatari ya kuwa na saratani.

Umri ni muhimu pia. Kumwaga mbegu mara nyingi hutoa kinga zaidi kwa watu kati ya umri wa miaka 20 na 50 na kuendelea. Lakini kuna hatari kwa vijana wa umri wa miaka 20 na chini ya hapo.

Kumwaga manii mengi wakati wa ujana - kibofu bado kikiwa hakijakoma na kuna hatari ya kupata saratani ya kibofu miongo kadhaa baadaye.

Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani ulionesha kuwa wanaume wanaomwaga manii mara 21 au zaidi kwa mwezi wana hatari ndogo ya kupata saratani ya tezi dume kwa 31% kuliko wanaume wanaomwaga mara nne hadi saba kwa mwezi.

Matokeo kama hayo yalipatikana nchini Australia, ambapo saratani ya tezi dume ilikuwa chini ya 36% kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka 70, kwa wanaume waliomwaga mara tano hadi saba kwa wiki, ikilinganishwa na wanaume waliomwaga chini ya mara tatu kwa wiki.

Lakini utafiti mwingine unaeleza kuwa kumwaga mbegu zaidi ya mara nne kwa mwezi kunahesabiwa ni kumwaga mara kwa mara na hilo hutoa kinga kwa rika fulani la watu.

Kumwaga mbegu kunaweza kukulinda dhidi ya saratani ya kibofu, lakini pia yawezekana wanaume wanaomwaga manii mara kwa mara wana maisha bora, ambayo hupunguza uwezekano wa kupata saratani.

Kuwa na mzungumko mdogo wa kumwaga mbegu, kunaweza kuhusishwa na kupungua kwa shughuli za kimwili na talaka – hayo ni mambo ambayo yanaweza kuchangia kukua kwa saratani.

Homoni za testosterone ni muhimu

Homoni ya testosterone, inafahamika kwa kuongeza hamu ya tendo la ndoa, hivyo mwanaume mwenye viwango vya chini vya testosterone anaweza asiwe na hamu ya tendo.

Maoni ya zamani yalikuwa; viwango vya juu vya testosterone kwa wanaume huongeza hatari ya saratani ya kibofu, maoni ya sasa yanaonesha haiongezi hatari hii, na badala yake kiwango cha chini cha testosterone ndicho huongeza hatari.

Wanaume walio na saratani ya kibofu, huonesha kuwa viwango vya testosterone ni vya chini. Hivyo kuwa na homoni nyingi za testosterone hupunguza hatari ya saratani ya kibofu kwa wanaume na kuongeza motisha yao ya kushiriki katika shughuli za ngono.

Utafiti mwingine ulionesha kuwa wanaume ambao humwaga mara kwa mara - wana viwango vya juu vya homoni ya testosterone. Na hawa ndiyo wanaume ambao pia wana hatari ndogo ya saratani ya kibofu.

Shughuli ya ngono na kumwaga mbegu za kiume zina faida kwa kibofu, ikiwa ni pamoja na athari chanya kwenye moyo, ubongo, mfumo wa kinga, usingizi na hisia.

Licha ya kuwa uhusiano kati ya kumwaga manii na saratani ya kibofu haueleweki kikamilifu - na kuna hitaji la kweli la kusoma zaidi – lakini ukweli unabaki kuwa kumwaga ni sehemu ya maisha ya afya kwa mwanaume.

0 Comment

Testosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza hatari ya vifo, utafiti mpyaAfyaclass Forum •

Testosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza hatari ya vifo, utafiti mpya

Wataalamu wanasema wanaume wazee wanapaswa kufanya mazoezi ili kusaidia kuweka viwango vya testosterone katika hali nzuri.

Watafiti wanaripoti kuwa viwango vya chini vya testosterone vinahusishwa na kuongezeka kwa hatari ya vifo,
Wanaongeza kuwa viwango vya chini sana vya testosterone vinahusishwa na hatari kubwa ya kifo kutokana na magonjwa ya moyo na mishipa ya damu.

Utafiti wao uliangalia tafiti 11 zilizohusisha masomo 24,000.
Utafiti uliochapishwa leo katika jarida la Annals of Internal Medicine unaripoti kuwa kiwango cha chini cha testosterone kwa wanaume kinaweza kumaanisha maisha mafupi.

Watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Australia Magharibi walishirikiana na watafiti kutoka Australia, Amerika Kaskazini, na Ulaya katika ukaguzi wa kimfumo na uchambuzi wa meta wa tafiti 11 zinazohusisha zaidi ya masomo 24,000.

Watafiti walitaka kuchunguza uhusiano wa homoni zinazohusika na Jinsia(Sex hormones) na hatari ya vifo na ugonjwa wa moyo na mishipa kwa wanaume wazee.

Walihitimisha kwamba viwango vya chini vya testosterone kwa wanaume vinahusishwa na ongezeko la hatari ya vifo na viwango vya chini sana vinahusishwa na hatari kubwa ya kifo kutokana na shida ya moyo na mishipa.

Watafiti walisema katika taarifa kwamba utafiti wao unafafanua kile walichosema ni matokeo ya awali yasiyolingana kuhusu uhusiano kati ya homoni zinazohusika na jinsia na matokeo muhimu ya afya kwa wanaume wanaozeeka.

Maelezo juu ya utafiti kuhusu uhusiano wa kiwango cha testosterone kuwa chini na hatari ya vifo,
Walichunguza tafiti zinazotarajiwa za kikundi, zilizotambuliwa hapo awali katika hakiki iliyochapishwa, ya “wanaume wanaoishi katika jamii ya walio na viwango vya testosterone vilivyopimwa kwa kutumia spectrometry na angalau miaka mitano ya ufuatiliaji.”

Timu iliangalia data ya mgonjwa binafsi ili kuelewa uhusiano kati ya viwango vya msingi vya homoni (testosterone; globulini inayofunga homoni za ngono, homoni ya luteinizing, dihydrotestosterone, na estradiol) na hatari ya matukio ya moyo na mishipa, vifo vya magonjwa ya moyo na mishipa, na vifo vinavyotokana na sababu zote.

#SOMA Zaidi hapa kuhusu hormone ya Kiume, Testosterone

Testosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza
hatari ya vifo, utafiti mpya
0 Comment

Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya saratani ya Tezi dume?Afyaclass Forum •

Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya Tezi dume inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapafu.

Kwa sababu tezi dume ni kiungo cha uzazi ambacho kazi yake kuu ni kusaidia kuzalisha mbegu za kiume – yaani majimaji ambayo hubeba manii wakati wa mshindo.

Watafiti kwa muda mrefu wamekuwa wakijiuliza kuhusu athari za tendo la ndoa kwenye saratani ya tezi dume.

Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya saratani ya Tezi dume?

Tafiti za Kisayansi Zinasemaje?

Kuna ushahidi unaounga mkono swali hili. Utafiti uliofanywa katika kipindi cha miaka 33 iliyopita ulionesha kuwa tafiti saba kati ya 11 – ziliona kuna manufaa ya kumwaga mbegu dhidi ya kujilinda na saratani ya tezi dume.

Vile vile, kumwaga manii kunaweza kuongeza kinga ya mwili na kupunguza hatari ya maambukizi – ambapo ni miongoni mwa chanzo cha kukua kwa saratani hii.

Kumwaga mbegu za kiume pia kunaweza kupunguza shughuli za mfumo wa neva, na huzuia seli fulani za kibofu kugawanyika, na kupunguza hatari ya kuwa na saratani.

Umri ni muhimu pia. Kumwaga mbegu mara nyingi hutoa kinga zaidi kwa watu kati ya umri wa miaka 20 na 50 na kuendelea. Lakini kuna hatari kwa vijana wa umri wa miaka 20 na chini ya hapo.

Kumwaga manii kwa kiwango kikubwa wakati wa ujana – kibofu bado kikiwa hakijakomaa, kuna hatari ya kupata saratani ya kibofu miongo kadhaa baadaye.

Utafiti kutoka Chuo Kikuu cha Harvard nchini Marekani ulionesha kuwa wanaume wanaomwaga manii mara 21 au zaidi kwa mwezi wana hatari ndogo ya kupata saratani ya tezi dume kwa 31% kuliko wanaume wanaomwaga mara nne hadi saba kwa mwezi.

Matokeo kama hayo yalipatikana nchini Australia, ambapo saratani ya tezi dume ilikuwa chini ya 36% kwa wanaume walio chini ya umri wa miaka 70, kwa wanaume waliomwaga mara tano hadi saba kwa wiki, ikilinganishwa na wanaume waliomwaga chini ya mara tatu kwa wiki.

Lakini utafiti mwingine unaeleza kuwa kumwaga mbegu zaidi ya mara nne kwa mwezi kunahesabiwa ni kumwaga mara kwa mara na hilo hutoa kinga kwa rika fulani la watu.

Kumwaga mbegu kunaweza kukulinda dhidi ya saratani ya kibofu, lakini pia yawezekana wanaume wanaomwaga manii mara kwa mara wana maisha bora, ambayo hupunguza uwezekano wa kupata saratani.

Kuwa na mzungumko mdogo wa kumwaga mbegu, kunaweza kuhusishwa na kupungua kwa shughuli za kimwili– hayo ni mambo ambayo yanaweza kuchangia kukua kwa saratani.

Homoni za testosterone ni muhimu

Homoni ya testosterone, inafahamika kwa kuongeza hamu ya tendo la ndoa, hivyo mwanaume mwenye viwango vya chini vya testosterone anaweza asiwe na hamu ya tendo.

Maoni ya zamani yalikuwa; viwango vya juu vya testosterone kwa wanaume huongeza hatari ya saratani ya Tezi dume, maoni ya sasa yanaonesha haiongezi hatari hii, na badala yake kiwango cha chini cha testosterone ndicho huongeza hatari.

Wanaume walio na saratani ya Tezi dume, huonyesha kuwa viwango vya testosterone ni vya chini. Hivyo kuwa na homoni nyingi za testosterone hupunguza hatari ya saratani ya Tezi dume kwa wanaume na kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa.

Utafiti mwingine ulionyesha kuwa wanaume ambao humwaga mara kwa mara – wana viwango vya juu vya homoni ya testosterone. Na hawa ndiyo wanaume ambao pia wana hatari ndogo ya kupata saratani ya Tezi dume.

Kufanya tendo la ndoa na kumwaga mbegu za kiume kuna faida kwa Tezi dume, ikiwa ni pamoja na faida kwenye moyo, ubongo, mfumo wa kinga, usingizi na hisia.

Uhusiano kati ya kumwaga manii na kuzuia saratani ya Tezi dume haueleweki kikamilifu – Hivo tafiti zaidi zinahitajika – lakini ukweli unabaki kuwa kumwaga kuna faida kwa afya ya mwanaume.

Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya saratani ya
Tezi dume?
0 Comment
Notification
Karibu Afyaclass Forum Jukwaa linalojadili mambo mbali mbali ikiwemo afya,Magonjwa na Updates Zote,Tembelea hapa kila Siku,Pia Share Maoni yako kwenye jukwaa hili Afyaclass Forum ASANTE.
UNDERSTOOD