Head

Watu watano wafariki katika ajali ya treni ya Warri–Itakpe nchini Nigeria

Watu watano wafariki katika ajali ya treni ya Warri–Itakpe nchini Nigeria Idadi ya watu waliopoteza maisha kufuatia ajali ya treni kwenye reli ya Warri–Itakpe nchini Nigeria imeongezeka hadi wa…

Mtoto huyu anatafutwa na Familia yake,Jina Philomena Frank Tairo

Mtoto huyu anatafutwa na Familia yake,Jina Philomena Frank Tairo Familia ya Mtoto huyu aitwae Philomena Frank Tairo inamtafuta Mtoto wao ambaye aliondoka nyumbani kwao eneo la Vikindu, Wilaya ya…

Wazazi wa Wanafunzi Waliofariki kwa Moto Shuleni Walalamikia Kucheleweshwa kwa Miili

Wazazi wa Wanafunzi Waliofariki kwa Moto Shuleni Walalamikia Kucheleweshwa kwa Miili Wazazi na jamaa wa wasichana 16 waliofariki katika mkasa wa moto uliotokea katika Shule ya Wasichana ya Utum…

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Afariki Baada ya Kushambuliwa kwa Risasi

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Afariki Baada ya Kushambuliwa kwa Risasi Msumbiji imekumbwa na msiba mkubwa baada ya Askofu wa Kanisa Katoliki, Osorio Citora Afonso, kuuawa kwa kupigwa risasi akiwa…

Ajali wami,ajali mto wami Vifo kuhofiwa kutokea

Ajali wami,ajali mto wami Vifo kuhofiwa kutokea Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa leo Juni 7, 2026 ikihusisha magari matatu katika …

Wanafunzi nane Wakamatwa Kufuatia Moto wa Shule Ulioua Wanafunzi 16 Nchini Kenya

Wanafunzi Nane Wakamatwa Kufuatia Moto wa Shule Ulioua Wanafunzi 16 Nchini Kenya Mamlaka za usalama nchini Kenya zimewakamata wanafunzi wanane wa shule ya wasichana ya Utumishi Girls Academy ba…

Maduka ya Wafanyabiashara wa Kigeni Yaporwa Afrika Kusini Kufuatia Mvutano wa Kijamii

Maduka ya Wafanyabiashara wa Kigeni Yaporwa Afrika Kusini Kufuatia Mvutano wa Kijamii Mvutano kati ya wakazi wa eneo la Estcourt katika jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, umechukua sura mpy…

Mwanamke Aungua Vibaya Kwa kumwagiwa Maharage kisa Kumuunga Mkono Ruto

Mwanamke Aungua Vibaya Kwa kumwagiwa Maharage kisa Kumuunga Mkono Ruto Familia moja katika eneo la Kibera, Nairobi, imejikuta katika huzuni na maumivu makali baada ya mwanamke mmoja kudaiwa kus…

Moto mkubwa wateketeza bweni la wanafunzi katika Chuo cha Wasichana eneo la Gilgil Kenya

Moto mkubwa wateketeza bweni la wanafunzi katika Chuo cha Wasichana eneo la Gilgil Kenya Hofu imetanda katika Kaunti ya Nakuru nchini Kenya baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni la wanafunzi kat…

Walinzi matatani,Kijana kuvuka vizuizi vya kiusalama na kumkumbatia rais Ruto

Walinzi matatani,Kijana kuvuka vizuizi vya kiusalama na kumkumbatia rais Ruto Jeshi la Polisi nchini Kenya limeanzisha uchunguzi maalumu kufuatia tukio la kijana mmoja kufanikiwa kupenya ulinzi …

Mmoja afariki dunia, wengine tisa wamejeruhiwa baada ya tanki kubwa lililokuwa na kemikali hatari kupasuka Washington Marekani

Mmoja afariki dunia, wengine tisa wamejeruhiwa baada ya tanki kubwa lililokuwa na kemikali hatari kupasuka Washington Marekani Mtu mmoja amefariki dunia, wengine tisa wamejeruhiwa huku wafanyaka…

Kisa cha Sinenhlanhla Khoza (31) kutoka Afrika Kusini kuzeeka ghafla

Hadithi ya Sinenhlanhla Khoza Yazua Mjadala Mtandaoni Kisa cha Sinenhlanhla Khoza (31) kutoka Afrika Kusini kimezua mshangao mkubwa baada ya kuonekana akipata mabadiliko ya haraka ya mwili yana…

Polisi wajigeuza wacheza shoo wenye mvuto ili kumnasa muuzaji wa dawa za kulevya

Polisi wajigeuza wacheza shoo wenye mvuto ili kumnasa muuzaji wa dawa za kulevya Kikosi cha polisi nchini Thailand kimezua gumzo mitandaoni baada ya maafisa wake kujibadilisha na kuvaa kama wac…

Watu zaidi ya 90 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa makaa ya mawe China

Watu zaidi ya 90 wafariki katika mlipuko wa mgodi wa makaa ya mawe China Watu wasiopungua 90 wamefariki dunia huku wengine wengi wakihofiwa kukwama baada ya kutokea mlipuko mkubwa wa gesi kati…

Mwanamke Aliyenusurika Mashambulizi ya 9/11 Asema Mwili Wake Unachoma Kutoka Ndani

Mwanamke Aliyenusurika Mashambulizi ya 9/11 Asema Mwili Wake Unachoma Kutoka Ndani Mwanamke mmoja kutoka jimbo la Arizona nchini Marekani, Jenn Ashcraft, ambaye alinusurika mashambulizi mawili …

Bei ya Dizeli Yashuka Kenya Saa Chache Baada ya Mgomo wa Matatu Kutikisa Taifa

Bei ya Dizeli Yashuka Kenya Saa Chache Baada ya Mgomo wa Matatu Kutikisa Taifa Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini kupitia Energy and Petroleum Regulatory Authority(EPRA) imetangaza…

Maelfu ya Nyuki Wazua Taharuki White House Marekani

Maelfu ya Nyuki Wazua Taharuki White House Marekani Maelfu ya nyuki wamezua taharuki katika makazi rasmi ya Rais wa Marekani, White House baada ya kuvamia ghafla eneo la North Lawn karibu na se…

Ndege yaangukia nyumba Watu wawili wamepoteza maisha

Ndege yaangukia nyumba Watu wawili wamepoteza maisha Watu wawili wamepoteza maisha baada ya ndege ndogo aina ya Piper PA-28 kuanguka kwenye nyumba katika mji wa Akron, Jimbo la Ohio nchini Marek…

Taharuki Nakuru: Treni Yagonga Basi la Wanafunzi Wakiwa Wanaelekea Shuleni

Taharuki Nakuru: Treni Yagonga Basi la Wanafunzi Wakiwa Wanaelekea Shuleni Hali ya taharuki ilitanda katika eneo la Gilgil, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya, baada ya treni kugonga basi la shule l…

Kifo cha Mfanyabiashara Arusha Chazua Simanzi na Maswali Mengi

Kifo cha Mfanyabiashara Arusha Chazua Simanzi na Maswali Mengi Simanzi kubwa imetanda katika familia na jamii ya jijini Arusha baada ya mfanyabiashara maarufu, Sifaeli Mollel, kupatikana akiwa …

Load More Posts That is All