Head

Parasite Yaongoza Orodha ya Filamu Bora za Karne ya 21

Parasite Yaongoza Orodha ya Filamu Bora za Karne ya 21 Filamu ya Korea Kusini, Parasite, imeibuka kileleni mwa orodha ya filamu 100 bora zaidi za karne ya 21, kulingana na tathmini mpya iliyoto…

Netflix New Movies na Series 2026: Kila Unachopaswa Kujua

Netflix New Movies na Series 2026: Kila Unachopaswa Kujua Netflix mwaka 2026 imeingia na msururu mkubwa wa filamu na series mpya zinazovutia mashabiki duniani kote. Kutoka drama, romance, action…

Trela ya Filamu ya “Jimmy” Yazinduliwa Rasmi

Trela ya Filamu ya “Jimmy” Yazinduliwa Rasmi, Kuonyesha Maisha ya Kijeshi ya Jimmy Stewart Trela rasmi ya filamu mpya ya wasifu wa mwigizaji maarufu wa Hollywood, “Jimmy,” imezinduliwa rasmi, i…

Muigizaji Maarufu Ving Rhames apata Tatizo la Ghafla Kiafya, Apona na Kuruhusiwa Hospitalini

Muigizaji Maarufu Ving Rhames apata Tatizo la Ghafla Kiafya, Apona na Kuruhusiwa Hospitalini Muigizaji mashuhuri wa filamu za Hollywood, Ving Rhames, ameruhusiwa kutoka hospitalini na kwa sasa …

Historia ya Hashim Kambi: Nyota wa Uigizaji nchini Tanzania

Historia ya Hashim Kambi: Nyota wa Uigizaji nchini Tanzania Tasnia ya filamu Tanzania imewahi kubarikiwa na vipaji vingi vilivyoacha alama kwa mashabiki na kizazi kipya cha wasanii. Miongoni mw…

Msanii Mkongwe wa Filamu Tanzania Hashim Kambi Afariki Dunia

Msanii Mkongwe wa Filamu Tanzania Hashim Kambi Afariki Dunia Tasnia ya filamu nchini Tanzania imepata pigo baada ya taarifa kuthibitisha kifo cha msanii mkongwe Hashim Kambi aliyefariki dunia …

Imani Dia Smith Muigizaji wa Disney The Lion King afariki dunia nyumbani kwake

Imani Dia Smith, anayejulikana zaidi kwa kuigiza nafasi ya Young Nala kwenye filamu ya Disney The Lion King, amefariki dunia katika tukio linalochunguzwa kama mauaji. Kwa mujibu wa polisi, mwili…

Muigizaji wa The Wire James Ransone afariki akiwa na umri wa miaka 46

Muigizaji wa The Wire James Ransone afariki akiwa na umri wa miaka 46 kutokana na kujiua James Ransone, mwigizaji wa Marekani anayejulikana zaidi kwa kucheza Ziggy Sobotka katika mfululizo wa fi…

Hapana, sijaiona milele - Mwigizaji Leonardo DiCaprio Asema Hajawahi Kuitazama tena Titanic

Muigizaji wa Marekani Leonardo DiCaprio amewashangaza mashabiki kwa kukiri kwamba hajawahi kutazama tena filamu kubwa zaidi kutoka kwa kazi yake ya uigizaji ya miaka 35, Titanic. Mshindi huyo wa…

Muigizaji wa Kijapani Tagawa Afariki Dunia,akiwa na miaka 75

Muigizaji wa Kijapani Tagawa Afariki Dunia,akiwa na miaka 75 Muigizaji wa Kijapani Cary-Hiroyuki Tagawa, maarufu kwa nafasi yake ya Shang Tsung kwenye 'Mortal Kombat', amefariki dunia ak…

Nyota wa Bollywood Dharmendra 'He-Man' afariki akiwa na umri wa miaka 89

Watu walitokea kumpenda na kumuamini sana Dharmendra,upendo huo wa kipekee aliupata kutoka kwa mamilioni ya mashabiki Zake. Mwigizaji huyo alitoa filamu maarufu na za kusisimua. Dharmendra mara …

Muigizaji wa Hollywood Spencer Lofranco, nyota wa filamu za Jamesy Boy na Gotti, afariki akiwa na umri wa miaka 33

Muigizaji wa Hollywood Spencer Lofranco, nyota wa filamu za Jamesy Boy na Gotti, afariki akiwa na umri wa miaka 33 Muigizaji wa Hollywood Spencer Lofranco, anayejulikana Zaidi kwa uigizaji wake …

Mmoja wa waigizaji kipenzi wa filamu za Kibabe ni Billy Drago

FILAMU za  ubabe haziwezi kunoga kama hakuna mwigizaji mahiri anayekuwa akitoa upinzani mkali kwa kinara mkuu yaani ‘steringi’ japo huwa hauawi. Hii ndio hufanya mashabiki kuwapenda waigizaji wa…

Squid Game msimu wa tatu yavunja rekodi nyingine tena Netflix

Mfululizo maarufu wa Filamu ya "Squid Game" umeendelea kuvunja rekodi baada ya msimu wake wa tatu (Season 3) kufikisha watazamaji milioni 60.1 ndani ya siku tatu tu tangu iachiliwe ras…

Squid game season 3 tayari imetoka

Fahamu,Squid game season 3 tayari imetoka Ndiyo, msimu wa 3 wa Squid Game umetoka leo — tarehe 27 Juni 2025 — kwenye Netflix. Vipindi vyote sita vya msimu huu wa mwisho vimeachiwa kwa wakati mm…

Ifahamu Filamu ya Sarafina,ambayo ilitamba sana kutoka Afrika Kusini

Ifahamu Filamu ya Sarafina,ambayo ilitamba sana kutoka Afrika Kusini Sarafina! ni filamu ya Afrika Kusini iliyotolewa mwaka 1992, inayoangazia maisha ya wanafunzi wa shule ya upili wakati wa ut…

Muigizaji wa Batman Forever afariki Dunia

Muigizaji wa Batman Forever afariki Dunia Mwigizaji Val Kilmer aliyewahi kuvaa vazi la Batman katika filamu ya Batman Forever (1995) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 65 kutokana na nimonia…

Jumong ni tamthilia ya Kihistoria kutoka Korea Kusini

Jumong  ni tamthilia ya Kihistoria kutoka Korea Kusini Jumong ni tamthilia ya Kihistoria kutoka Korea Kusini iliyotayarishwa na MBC na kurushwa hewani mwaka 2006 hadi 2007. Inasimulia maisha ya…

Load More Posts That is All