Maambukizi ya homa ya ini yanasababisha vifo vya watu 3500 kila siku;WHO
Kwa Mujibu wa Takwimu za Shirika la Afya Duniani(WHO; Maambukizi ya homa ya ini yanasababisha vifo vya watu 3500 kila siku. Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ya mwaka 2024 kuhusu hali ya…