Maji machafu ni chanzo cha Ugonjwa wa Kipindupindu
Maji machafu au yasiyochemshwa yanaweza kusababisha kipindupindu. Hii ni kwa sababu vimelea vya Vibrio cholerae (bakteria wanaosababisha kipindupindu) huishi na kusambaa kupitia maji na chakula …