Hali ya Joto Kali nchini TMA yatoa Taarifa
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa viwango vya joto katika maeneo mbalimbali nchini, hususan katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka. On…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu kuongezeka kwa viwango vya joto katika maeneo mbalimbali nchini, hususan katika maeneo yanayopata misimu miwili ya mvua kwa mwaka. On…
Kimbunga Hidaya na kinachoendelea kwa sasa Pwani ya Afrika Mashariki hususan Tanzania inatazamiwa kukumbwa na Kimbunga Hidaya ambacho kitasababisha mvua kubwa. Mapema wiki hii Mamlaka ya hali ya…
TMA: Tahadhari juu ya Upepo mkali kutokea Leo,uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya uwepo wa mgandamizo mdogo wa hewa katika Bahari ya Hindi …
MVUA kubwa kwenye Mikoa 16 Tanzania bara,chukua tahadhari . Mikoa hiyo ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza, Mara, S…
TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia Jumatano Aprili 24, 2024 saa 9.30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa taarifa ya matarajio ya hali m…
TMA imetoa angalizo la mvua kubwa kwa maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia) na visiwa vya Unguja na Pemba kuanzia mchana wa leo Aprili 16, 2024 .…
Uwepo wa Mvua Kubwa,TMA yatoa angalizo Tahadhari ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita mbili, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya Bahari…
Utabiri wa Hali ya Hewa wa Mwezi,tathmini ya Mwezi Machi na Muelekeo wa Aprili Dondoo za tathmini ya Machi, 2024 na mwelekeo wa Aprili, 2024: Taarifa hii inatoa muhtasari wa mifumo ya hali ya he…
El-Nino kupungua nguvu msimu wa mvua za masika,TMA Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema hali ya El – Nino inayoendelea katika Bahari ya Pasifiki itapungua nguvu katika msimu wa mvua z…
Tahadhari ya Mvua kubwa kwa Siku Tano Mfululizo-TMA Kama unaishi mikoa ya Morogoro, Lindi, Iringa, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe na Ruvuma, basi kaa mguu sawa kwani Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanz…
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) yatoa sababu kuwapo joto kali. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tathmini ya hali ya joto na mwenendo wake katika maeneo mbalimbali nchini. Dar…