Michezo,Cristiano Ronaldo asema mwisho ni Kombe la Dunia la 2026
Mshindi huyo mara tano wa tuzo ya Ballon d'Or anapambana ili aweze kucheza katika Kombe la Dunia kwa mara yake ya sita. Mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2006. Nyota wa kimataifa wa Ureno na klab…