Michuano ya kombe la dunia la 2026: Nigeria kukabiliana na DR Congo katika fainali ya mchujo ya Afrika
Super Eagles ya Nigeria itakabiliana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika fainali ya mchujo ya Kombe la Dunia la 2026. Mshindi wa mchezo huu atasonga mbele hadi mechi za mchujo za mashirik…