Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga,Miloud Hamdi ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri
Aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga ya Tanzania, Miloud Hamdi (54), raia wa Algeria, ameteuliwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Klabu ya Ismaily SC ya Misri kwa mkataba wa mwaka mmoja, ukiwa na kip…