Mkunga aliyezalisha watoto zaidi 200 afariki dunia akijifungua Mtoto wake mwenyewe
Alikuwa mkunga aliyejitolea ambaye alitumia taaluma yake kusaidia kuleta watoto zaidi ya 200 duniani, mara nyingi akiwasaidia Wakinamama wengi kwa moyo wake wote. Akijulikana kwa uvumilivu wake …