Head

Mvua za Masika zaathiri nyumba Takribani 150 Zanzibar

Mvua za Masika zaathiri nyumba Takribani 150 Zanzibar Mvua za Masika zasababisha nyumba takribani 150 Zanzibar kuathirika na wakazi kuzihama nyumba zao wakihofia maisha yao. Maeneo yaliyoathirik…

TMA yatoa tahadhari mvua kubwa mikoa 19 Leo

Mvua hizo zinatarajiwa kunyesha Leo Jumapili, Desemba 28, 2025. Zinaweza kusababisha mafuriko, maporomoko ya udongo na usumbufu wa shughuli za kiuchumi na kijamii.  Dar es Salaam. Mamlaka ya Hal…

Tukio:Kufuatia Mvua kubwa,Watu 90 wafariki kwa mafuriko Indonesia

Mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi yamesababisha vifo vya takriban watu 90 nchini Indonesia wiki hii huku mvua kubwa isiyo ya kawaida ikinyesha katika kisiwa cha Sumatra. Kanda za video zin…

Tukio,Kimbunga Kalmaegi chasababisha maafa makubwa Vietnam

Kimbunga Kalmaegi kimesababisha upepo mkali na mvua kubwa huko Vietnam. Watu watano wameuwawa wakati kimbunga hicho kilipopiga eneo hilo, kutokea Ufulipino ambako huko idadi ya waliouwawa wamefi…

Watu 26 wafariki Kenya kufuatia maporomoko ya matope yaliyosababishwa na mvua kubwa

Maporomoko hayo ya matope yamechangiwa na kuendelea kunyesha kwa mvua kubwa Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Kipchumba Murkomen, ametoa wito kwa wakaazi katika eneo hilo kuwa waangalifu hasa w…

TMA yatoa tahadhari ya hali Mbaya ya Hewa kwa siku 5

TMA yatoa tahadhari ya hali Mbaya ya Hewa kwa siku 5 Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano zijazo, kuanzia leo Jumatatu, Oktoba 27, 2025. Ai…

MAFURIKO:Zaidi ya watu 89,000 wamehamishwa nchini Pakistan.

MAFURIKO:Zaidi ya watu 89,000 wamehamishwa nchini Pakistan. Pakistan imewahamisha maelfu ya watu na kuwapeleka maeneo salama baada ya nchi jirani ya India kufunguwa mabwawa yake yaliyofurika pam…

Mafuriko Texas yaua takribani watu 24,Vikosi vya Uokoaji vinaendelea kutafuta wengine

Vikosi vya uokoaji vinaendelea kuwatafuta wasichana wasiopungua 20 waliopotea kutoka kambi ya watoto ya sherehe za majira ya joto pembeni ya mto. Hii baada ya mvua kubwa kusababisha mafuriko ya…

TMA yataja chanzo cha mvua zinazonyesha kwa Sasa,baadhi ya maeneo

TMA yataja chanzo cha mvua zinazonyesha kwa Sasa,baadhi ya maeneo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua zinazoendelea kunyesha tangu jana katika baadhi ya mikoa nchini zimetokana …

Takribani Watu 36,000 wahamishwa chanzo mafuriko makubwa China

Takribani Watu 36,000 wahamishwa chanzo mafuriko makubwa China Watu wapatao 36,000 wamehamishwa na kupelekwa sehemu salama kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa katika mkoa wa kusini …

Idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko KENYA imeongezeka hadi kufikia watu 228

#PICHA:Wafanyakazi wa Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Kenya wakiwa katika harakati za uokoaji kufuatia mafuriko. MAMLAKA nchini Kenya zimesema kuwa idadi ya watu waliofariki kufuatia mafuriko…

MVUA kubwa kwenye Mikoa 16 Tanzania bara,chukua tahadhari

MVUA kubwa kwenye Mikoa 16 Tanzania bara,chukua tahadhari . Mikoa hiyo ni Dar es Salaam, Tanga, Pwani (ikijumuisha visiwa vya Mafia), Arusha, Manyara, Kilimanjaro, Kagera, Geita, Mwanza, Mara, S…

TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa

TMA yatoa taarifa ya matarajio ya hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia Jumatano Aprili 24, 2024 saa 9.30 mchana. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa taarifa ya matarajio ya hali m…

Mafuriko yaathiri kaya 29,510 watu 125,668, Morogoro kaya 12,824 watu 51,491 na Mbeya kaya 27, 000 watu 96,000.

SERIKALI imesema wananchi 273,159 hawana makazi kutokana na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Kadhalika, viongozi wa dini wataondoka leo na treni ya kisasa (SGR) kutoka…

DUBAI; Mvua kubwa ambayo haijawahi kunyesha kwa miaka 75

DUBAI; Mvua kubwa ambayo haijawahi kunyesha kwa miaka 75 #DUBAI: Safari za Ndege zimeahirishwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dubai baada ya Uwanja huo kujaa Maji kutokana na Mvua zilizo…

Uwepo wa Mvua Kubwa,TMA yatoa angalizo

Uwepo wa Mvua Kubwa,TMA yatoa angalizo Tahadhari ya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita mbili, imetolewa kwa baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya Bahari…

ZAIDI ya kaya 2,500 katika Kata ya Muhoro, wilayani Rufiji, mkoani Pwani zimeathiriwa na mafuriko

ZAIDI ya kaya 2,500 katika Kata ya Muhoro, wilayani Rufiji, mkoani Pwani zimeathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini. Imeelezwa kuwa …

Utabiri wa Hali ya Hewa wa Mwezi,tathmini ya Mwezi Machi na Muelekeo wa Aprili

Utabiri wa Hali ya Hewa wa Mwezi,tathmini ya Mwezi Machi na Muelekeo wa Aprili Dondoo za tathmini ya Machi, 2024 na mwelekeo wa Aprili, 2024: Taarifa hii inatoa muhtasari wa mifumo ya hali ya he…

15 wafariki, mvua zatajwa kiini, wamo watoto

15 wafariki, mvua zatajwa kiini, wamo watoto Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) David Misime. JUMLA ya watu 15 wamefariki dunia kwa kusombwa na maji…

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa siku tatu mfululizo

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa siku tatu mfululizo Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo kwa wakazi wanaoishi ukanda wa Pwani ya Bahari ya Hindi ukiwamo Mkoa wa Dar es Salaam,…

Load More Posts That is All