Mabaki ya watu 42 yarejeshwa Afrika Kusini
Mabaki ya watu 42 yarejeshwa Afrika Kusini Mabaki ya watu 42 waliopigania uhuru wa Afrika Kusini na waliofariki wakiwa uhamishoni katika mataifa ya Zimbabwe na Zambia yamerejeshwa nchini humo. …
Mabaki ya watu 42 yarejeshwa Afrika Kusini Mabaki ya watu 42 waliopigania uhuru wa Afrika Kusini na waliofariki wakiwa uhamishoni katika mataifa ya Zimbabwe na Zambia yamerejeshwa nchini humo. …
Mpox yaenea katika majimbo 19 ya Nigeria Mlipuko wa Mpox unaendelea kusambaa kote Nigeria, ukiathiri maeneo 30 ya serikali za mitaa katika majimbo 19 na Jimbo Kuu la Shirikisho (FCT), na kesi 40…
Ndugulile achaguliwa Mkurugezi Mkuu WHO Afrika CONGO, Brazzaville – Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dk Faustine Ndugulile ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa …
Gharama za kusafisha figo kupunguzwa Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) inafanya jitihada za kununua vitendanishi na vifaa vinavyotumika kusafisha figo moja kwa moja kutoka Viwandani ili kupu…
Baada ya Homa ya Nyani ama mpox kutangazwa kuwa dharura ya afya ya umma na Shirika la Afya Duniani kutokana na kuenea kwa kasi kwa ugonjwa huo, macho yote yameelekezwa nchini Jamhuri ya Kidemokr…
Mlipuko mpya wa kipindupindu waleta taharuki kwa wakimbizi Sudan Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kupitia mwakilishi wake nchini Sudan Kristine Hambrouck, katika mkutan…
Homa ya Nyani: Je, kuna chanjo ya mpox? Aina mpya ya homa ya nyani imesababisha mamia ya vifo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC), na imeenea katika maeneo ya Afrika ya Kati na Masharik…
Wagonjwa 171 wamekutwa na homa ya nyani,Mpox Burundi Wizara ya afya nchini Burundi imesema wagonjwa 171 wamekutwa na homa ya nyani. Tangazo hilo linafuatia kisa cha kwanza cha ugonjwa huo kuthib…
TANZIA:Marco joseph wa zabron singers Afariki Dunia Msanii wa Zabron Singers, Marco Joseph Afariki Jijini Dar Msanii wa Kundi la Zabron Singers, Marco Joseph amefariki dunia usiku wa kuamkia leo…
Mpox yaingia Sweden, WHO yataka mshikamano kudhibiti Homa ya nyani au mpox aina ya Clade 1B imevuka barani Afrika na kuingia Ulaya hususan Sweden, ikiwa ni nchi ya kwanza nje ya bara hilo kuthib…
WHO yataka uwekezaji zaidi kwenye chanjo ya kipindupindu Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO ametoa wito wa kuongezwa uzalishaji wa chanjo ya kipindupindu, akiangazia kile alichokielezea ku…
Magonjwa yasiyoambukiza tishio Temeke IDADI ya wagonjwa wanaoumwa magonjwa yasiyoambukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke 2022/23 imeongezeka kutoka 9566 mwaka 2022/2023 hadi 11,175 kwa mwa…
Ongezeko la COVID-19 wakati huu wa kiangazi linaleta hofu ya kurejea janga hilo: WHO Shirika la afya Duniani, WHO limeziomba serikali zote duniani na watu binafsi kuchukua hatua kupunguza athari…
Kanda ya Afrika inakumbana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa mpox tangu mwanzo wa mwaka huu 2024, huku nchi nyingi zilizokuwa hazijaathirika na ugonjwa huu zikiripoti kusambaa kwa virusi vya ugon…
ACHENI KUWATOZA WAGONJWA POSHO ZA DEREVA KWENYE ‘AMBULANCE’ Na WAF – Tanga Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini Mhe. Ummy Mwalimu amekemea vikali na kuwaonya viongozi wa Hospitali zo…
Homa ya ini yaua watu 3,500 kila siku licha ya kuweko kinga na tiba- WHO Kuzuia maambukizi ya homa ya ini kwa njia ya chanjo za utotoni hupunguza kwa kiasi kikubwa maambukizo sugu na visa vya sa…
Changamoto za kutokomeza Ukimwi ifikapo mwaka 2030 Umoja wa Mataifa umesema maamuzi ya kisiasa yatakayochukuliwa mwaka huu, yataamua ikiwa lengo la kutokomeza kabisa ugonjwa wa UKIMWI ifikapo m…
Chanjo ya kuzuia VVU yashindwa kupunguza maambukizi Majaribio ya chanjo hiyo yalisitishwa Novemba, 2023 na baadaye kutangazwa hadharani Desemba mwaka huo. Baada ya majaribio ya chanjo ya sindano…
Chanjo ya Kifua Kikuu yatolewa Kenya Kundi la kwanza la Wakenya limepokea chanjo inayoelekea kuwa ya kwanza ya kifua kikuu (TB) katika kipindi cha takriban miaka 100. Chanjo hiyo ilitolewa tareh…
Mwanafunzi wa shule ya sekondari ajinyonga baada ya mpenzi wake kukataa ujauzito Tukio la kusikitisha limetokea katika shule ya upili ya Nleta huko Bulawayo, Zimbabwe, ambapo mwanafunzi wa kidat…