Je, kumwaga mbegu za kiume hukulinda dhidi ya hatari ya saratani ya Tezi dume?
Linapokuja suala la afya ya wanaume, saratani ya Tezi dume inachukua nafasi kubwa. Ni aina ya pili ya saratani inayogunduliwa kwa wingi kwa wanaume duniani kote, ikifuatiwa na saratani ya mapaf…