kutambua mapema ishara na dalili za saratani na kuchukua hatua kunaweza kuokoa maisha ya mtoto
#PICHA: Mvulana mwenye umri wa miaka 2 aligunduliwa kuwa na saratani ya damu na kutibiwa kwa mionzi ya chemotherapi akisubiri kuonana na daktari katika hospitali moja nchini Ghana. Ikiwa Jana du…