Serikali ya Israel yatambua mwili wa mwanafunzi wa Tanzania aliyekuwa mateka Gaza
Serikali ya Israel imethibitisha kuwa mwili wa marehemu Joshua Luito Mollel, mwanafunzi kutoka Tanzania aliyechukuliwa mateka katika Ukanda wa Gaza tarehe 7 Oktoba 2023, umetambuliwa rasmi. Utam…