Head

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa upinzani kutoka kwa baadhi ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong…

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limetuma tani 11 za vifaa muhimu vya matibabu kusaidia juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa E…

Kesi Mbili za Hantavirus Zathibitishwa Katika Meli ya Kitalii – WHO

K esi Mbili za Hantavirus Zathibitishwa Katika Meli ya Kitalii – WHO Shirika la Afya Duniani limethibitisha kuwepo kwa maambukizi ya virusi vya Hantavirus miongoni mwa abiria waliokuwa ndani ya…

New:Afyaclass Disease List 2025,Orodha ya Magonjwa Yaliyosumbua sana Dunia 2025

Hapa ni orodha ya magonjwa na matatizo ya kiafya yaliyosumbua sana dunia mwaka 2025 , ikijumuisha magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza pamoja na milipuko mikubwa iliyoripotiwa na Shiri…

WHO:Aina mpya ya homa ya mafua inaongezeka kwa kasi

WHO:Aina mpya ya homa ya mafua inaongezeka kwa kasi, lakini chanjo bado ni kinga bora Muguzi mwenye tabasamu na mama aliye na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka minane kwenye kituo cha afya huk…

Ugonjwa wa Malaria wazidi kuua Watoto duniani,WHO

Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesema Alhamisi kuwa watu takribani 610,000—wengi wao wakiwa watoto—wamefariki dunia mwaka 2024 kutokana na ugonjwa wa malaria. Mbu ndio chanzo kikuu cha mala…

Wagonjwa wa Malaria waliongezeka duniani 2024,WHO

Shirika la Afya Duniani, WHO limesema ugonjwa wa malaria uliwaua takribani watu 610,000 duniani kote mwaka 2024. Ripoti ya mwaka ya WHO kuhusu malaria iliyotolewa Alhamisi, imeeleza kuwa visa vy…

WHO yatoa Wito dhidi ya upatikanaji wa tiba mpya za VVU ikiwemo dawa ya Lenacapavir

WHO yatoa Wito dhidi ya upatikanaji wa tiba mpya za VVU ikiwemo dawa ya Lenacapavir Shirika la Afya Duniani, WHO linatoa wito kwa serikali na washirika kutanua upatikanaji wa tiba mpya zilizoidh…

WHO,Fedha za dharura zatengwa kwa ajili ya waathirika wa kimbunga Sri Lanka

Shirika la Afya Duniani (WHO) leo limetoa dola 175,000 kama mfuko wa dharura kwa ajili ya Colombo, Sri Lanka, kufuatia kimbunga kilichosababisha hali mbaya zinazohatarisha maisha nchini humo. Fe…

WHO yatoa mwongozo wa kwanza wa kimataifa kuhusu UTASA

Shirika la Afya Duniani linachukulia utasa kuwa suala la afya ya umma duniani. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) leo tarehe 28 Novemba,  limezitaka nchi duniani kuongeza usalama,…

Profesa Mohamed Janabi, ametahadharisha akisema dawa ambazo hapo awali ziliokoa maisha sasa hazifanyi kazi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO Kanda ya Afrika Dkt.Mohamed Yakub Janabi Usugu dhidi ya Viua-Vijasumu (AMR)unaelezwa kama janga la kimyakimya linalotishia kurudisha ny…

Wiki ya Kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu usugu wa vijiumbemaradhi dhidi ya dawa

Tarehe 18 - 24 Novemba: Wiki ya Kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu usugu wa vijiumbemaradhi dhidi ya dawa Usugu wa dawa za viuavijumbemaradhi (AMR) unatishia uzuiaji thabiti na matibabu ya maam…

WHO yazindua mwongozo wa usimamizi wa ugonjwa wa kisukari kwa wajawazito

Mtaalamu wa afya akikagua kiwango cha sukari katika damu ya mwanamke mjamzito na mwenye ugonjwa wa kisukari katika Kituo cha Usaidizi wa Kisukari na Endocrinology huko Bahia, Brazili. Shirika la…

Chanjo mpya za TB zina uwezo wa kuokoa maisha ya mamilioni ya watu kwa haraka 'WHO'

Ripoti:WHO yahimiza hatua thabiti kuhakikisha upatikanaji sawa wa chanjo mpya za TB WHO inasisitiza umuhimu wa utafiti kuhusu ugonjwa wa Kifua kikuu hasa kile kilicho sugu dhidi ya dawa. Shirika…

Utafiti:Utapiamlo unaweza kusababisha aina mpya ya kisukari

Utafiti:Utapiamlo unaweza kusababisha aina mpya ya kisukari Utafiti mpya uliochapishwa katika jarida la The Lancet Global Health unaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 25 duniani wanaishi na aina…

WHO: Usugu wa bakteria dhidi ya viuavijasumu vya kawaida waenea duniani

WHO: Usugu wa bakteria dhidi ya viuavijasumu vya kawaida waenea duniani Daktari akichambua sampuli katika maabara ya hospitali ya mafunzo nchini Nigeria Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kuwa…

Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanaishi na magonjwa ya akili: WHO

Zaidi ya watu bilioni moja duniani wanaishi na changamoto za afya ya akili kama vile msongo wa mawazo na mfadhaiko, kwa mujibu wa takwimu mpya zilizotolewa leo na Shirika la Afya la Umoja wa Mat…

WHO: Jinsi ya kusaidia afya ya akili katika nyakati za misukosuko

Mwongozo wa WHO: Jinsi ya kusaidia afya ya akili katika nyakati za misukosuko Zaidi ya watu milioni 300 duniani wanahitaji msaada wa kibinadamu kutokana na migogoro, mabadiliko ya tabianchi, mi…

Ugonjwa wa malale si tatizo tena kwa nchi ya Kenya:WHO

Uchunguzi na ufuatiliaji wa jamii kuhusu ugonjwa wa malale unaoenezwa na mbung'o kwa wakazi wa eneo la bonde la Lambwe, Kaunti ya Homa Bay nchini Kenya. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya …

Dhana Potofu kuhusu kunyonyesha,Wiki ya Unyonyeshaji

Takwimu za hivi karibuni za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF, zinakadiria kuwa unyonyeshaji usio wa kutosha husababisha asilimia 16 ya vifo vya watoto kila mwaka. Shirika…

Load More Posts That is All