Head

Je wajua kuwa matumizi yasiyo sahihi ya katheta hospitalini yanaweza kusababisha kifo cha mgonjwa?

WHO yatoa mwongozo mpya kupunguza maambukizi kwenye matumizi ya katheta #PICHA: Muhudumu wa afya akimuhudumia mgonjwa katika kituo cha matibabu ya kipindupindu Malawi Je wajua kuwa matumizi yasi…

WHO yaendesha kampeni ya "Afya yangu, haki yangu

#PICHA:Juliana Germano, mtaalamu wa afya kutoka Chama cha maendeleo ya familia Msumbiji, (AMODEFA) ndani ya kliniki tembezi. Katika maadhimisho ya kuanzishwa kwake hii leo, Shirika la Afya Dunia…

Zaidi ya vipimo milioni 1.2 vya uchunguzi wa haraka wa kipindupindu vitasafirishwa kwa nchi 14

Usambazaji wa vipimo vya haraka vya uchunguzi ili kuongeza mapambano dhidi ya kipindupindu-WHO Zaidi ya vipimo milioni 1.2 vya uchunguzi wa haraka wa kipindupindu vitasafirishwa kwa nchi 14 kat…

Shirika la Afya Duniani WHO Laingiza zaidi ya tani 50 za vifaa vya matibabu Sudan

Shirika la Afya Duniani WHO Laingiza zaidi ya tani 50 za vifaa vya matibabu Sudan #PICHA; Vifaa vya matibabu vinatayarishwa kwa ajili ya kupelekwa kwenye Milima ya Blue Nile na Nuba nchini Sudan…

Hali ilivyo kwenye Ugonjwa wa homa ya manjano barani Afrika(yellow fever)

Hali ilivyo kwenye Ugonjwa wa homa ya manjano barani Afrika(yellow fever). Takwimu hizi ni kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Tangu mwanzoni mwa 2023, na kufikia tarehe 25 Februari 2024…

WHO yatahadharisha juu ya uhaba wa chanjo ya kipindupindu

WHO yatahadharisha juu ya uhaba wa chanjo ya kipindupindu Shirika la afya duniani WHO limetahadharisha kuwa hatua za haraka zinahitajika ili kukabiliana na ongezeko la ugonjwa wa kipindupindu. …

Idadi ya watoto waliofariki kabla ya siku tano za kuzaliwa yashuka-(UN IGME)

Idadi ya watoto waliofariki kabla ya siku tano za kuzaliwa yashuka-(UN IGME) Idadi ya watoto waliofariki kabla ya siku yao ya tano yakuzaliwa imefikia kiwango cha chini kihistoria, na kushuka ha…

kutambua mapema ishara na dalili za saratani na kuchukua hatua kunaweza kuokoa maisha ya mtoto

#PICHA: Mvulana mwenye umri wa miaka 2 aligunduliwa kuwa na saratani ya damu na kutibiwa kwa mionzi ya chemotherapi akisubiri kuonana na daktari katika hospitali moja nchini Ghana. Ikiwa Jana du…

WHO:Kuna magonjwa 21 ya kitropiki yaliyopuuzwa

WHO:Kuna magonjwa 21 ya kitropiki yaliyopuuzwa. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani,WHO, kuna magonjwa 21 ya kitropiki yaliyopuuzwa, Na hii ndyo Orodha ya WHO; #PICHA: Maelezo kwa picha, Mago…

Kuibuka kwa Mbu mpya aitwae Steve ni tishio kwa Malaria mpya

Kuibuka kwa Mbu mpya aitwae Steve ni tishio kwa Malaria mpya Aina mpya ya mbu inachochea maambukizi ya malaria barani Afrika, na kuchochea wasiwasi wa afya ya umma. Steve ni mbu anaezaliana kati…

WHO: Uvutaji wa tumbaku unapungua kote ulimwenguni

Matumizi ya tumbaku yapungua licha ya juhudi za sekta ya tumbaku kuhatarisha maendeleo Ulimwenguni kote kuna watumiaji wa tumbaku bilioni 1.25 kwa mujibu wa makadirio yaliyotolewa leo ya utafiti…

COVID-19: Maambukizi yaongezeka kwa asilimia 52 katika mwezi mmoja, yasema WHO

COVID-19: Maambukizi yaongezeka kwa asilimia 52 katika mwezi mmoja, yasema WHO. Shirika la Afya Duniani, WHO, jana limethibitisha idadi ya wagonjwa wa COVID-19 duniani kote inaongezeka kwa kasi …

WHO:Hatari kubwa ya Magonjwa ya mlipuko Kusambaa Gaza

WHO:Hatari kubwa ya Magonjwa ya mlipuko Kusambaa Gaza. Shirika la Afya Duniani WHO linaangaza athari mbaya za mzozo unaoendelea likisema kuna hatari kubwa ya magonjwa ya milipuko kusambaa. Tangu…

Damu imetapakaa kila mahali kwenye hizi hospitali:Casey

PICHA: Mvulana mwenye umri wa miaka 3, ambaye nyumba yake ilishambuliwa kwa bomu, anapata nafuu katika hospitali ya Nasser baada ya kukatwa sehemu ya mguu wake wa kulia. Wahudumu wa afya huko Uk…

Watu billion 5.6 Duniani sawa na asilimia 71% ya watu wote duniani kulindwa na Sera ya kuzuia Tumbaku

Watu billion 5.6 Duniani sawa na asilimia 71% ya watu wote duniani kulindwa na Sera ya kuzuia Tumbaku. Kwa Mujibu wa takwimu za shirika la Afya Duniani(WHO);  Watu bilioni 5.6— sawa na asilimia …

TAHADHARI: Virusi vya UVIKO aina ya JN.1 vyazidi kuongezeka katika nchi nyingi duniani

Huku msimu wa baridi kali ukiendelea barani Ulaya, virusi vya UVIKO aina ya JN.1 vinaongezeka katika nchi nyingi duniani. Lakini hatari ya jumla kwa umma inatathminiwa kuwa chini, huku chanjo zi…

Mlipuko wa Dengue Afrika 2023, watu 700 walikufa-WHO

Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO); Mlipuko wa Dengue Afrika 2023, watu 700 walikufa, Burkina Faso ilikuwa na wagonjwa wengi Ugonjwa wa Dengue umeendelea kuwa ‘mwiba’ barani Afrika ambap…

WHO:kuna wagonjwa zaidi ya 100,000 wa kuhara Gaza tangu katikati ya Oktoba

Majira ya mchana mlo unandaliwa katika eneo la Rafah kwa ajili ya wakimbizi wa ndani wakishuhudia kwa hamu kubwa na zana zao mikononi mabakuli , vikombe na hata masufuria. Mlo wenyewe ni uji una…

WHO: Mwaka 2023 ulikuwa mwaka wa rekodi ya kutokomeza magonjwa

Mwaka 2023 ulikuwa mwaka wa rekodi ya kutokomeza magonjwa, kutokana na hatua kali za serikali na washirika wa afya duniani kote. Mnamo Machi, WHO iliidhinisha kutokomeza Malaria Azerbaijan na Ta…

Chanjo ya polio sio tu inamlinda mtoto bali inaokoa maisha: UNICEF

Chanjo ya polio sio tu inamlinda mtoto bali inaokoa maisha: UNICEF Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linahimiza kila nchi kuhakikisha watoto wote wenye umri wa chini ya miak…

Load More Posts That is All