Chad yafanikiwa kuondoa Ugonjwa wa trypanosomiasis,WHO yatangaza
Hii ni Nchi ya 51 kutambuliwa na WHO kwa kutokomeza ugonjwa huu wa kitropiki uliosahaulika, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaipongeza Chad kwa kuondoa aina ya gambinse ya trypanosomiasis kwa …