Zungu atangazwa Mshindi wa Kura za Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mbunge Mteule wa Jimbo la Ilala, Dar es salaam Mussa Azzan Zungu ameibuka Mshindi wa kinyang’anyiro cha Kiti cha Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambapo anakwenda kuwa Spika wa tisa wa Bun…