Head

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500

Ebola Yaendelea Kusambaa Afrika ya Kati, Visa Vyakaribia 500 Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaendelea kuleta hofu katika mataifa ya Afrika ya Kati baada ya idadi ya visa vilivyothibitishwa kufiki…

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC

WHO Yaonya,Hofu na Imani Potofu Vinakwamisha Mapambano Dhidi ya Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limeeleza kuwa upinzani kutoka kwa baadhi ya jamii nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cong…

Mahakama ya Kenya Yazuia Kujengwa kwa kituo cha Ebola nchini Kenya

Mahakama ya Kenya Yazuia Kujengwa kwa kituo cha Ebola nchini Kenya Jaji wa mahakama hiyo Patricia Nyaundi, ametoa amri inayoikataza serikali ya Kenya kuchukua hatua yoyote ya kujenga au kuanza s…

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15

Uganda Yathibitisha Kesi Sita Mpya za Ebola, Jumla Yafikia 15 Wizara ya Afya ya Uganda imethibitisha kesi sita mpya za ugonjwa wa Ebola, na kufanya idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kufikia 15…

Wagonjwa 5 wapona Ugonjwa wa Ebola,WHO yasema

Wagonjwa 5 wapona Ugonjwa wa Ebola,WHO yasema Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) lilisema kwenye taarifa yake ya Jumapili (Mei 31) kwamba wagonjwa wengine zaidi wanatazamiwa kupona, hasa pale ugu…

Mahakama ya Kenya Yasitisha Mpango wa Kituo cha Karantini ya Ebola

Mahakama ya Kenya Yasitisha Mpango wa Kituo cha Karantini ya Ebola Mahakama ya Kenya imetoa amri ya muda inayositisha mpango wa kuanzisha kituo cha karantini ya Ebola kinachodaiwa kuhusishwa na…

Mkuu wa WHO Awasili DRC Kuongoza Mapambano Dhidi ya Mlipuko wa Ebola

Mkuu wa WHO Awasili DRC Kuongoza Mapambano Dhidi ya Mlipuko wa Ebola Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus, ameanza ziara muhimu katika mashariki mwa …

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola

Uganda yakubali mpango wa Marekani wa kuwaweka Wamarekani karantini kufuatia mlipuko wa Ebola Serikali ya Uganda imethibitisha kuwa imepokea ombi kutoka Marekani la kuanzisha kituo maalumu cha …

Wizara yajibu kuhusu Marekani kutuma wagonjwa walioathiriwa au waliokaribiana na maambukizi ya Ebola nchini Kenya

Wizara yajibu kuhusu Marekani kutuma wagonjwa walioathiriwa au waliokaribiana na maambukizi ya Ebola nchini Kenya Wizara ya Afya nchini Kenya imetoa uhakikisho kwa wananchi kuwa taifa hilo liko …

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO

Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa ni Ebola vimegundulika DR Congo - WHO JChanzo cha picha,AFP Zaidi ya visa 900 vinavyoshukiwa kuwa Ebola, ikiwemo visa 101 vilivyothibitishwa, vimegunduliwa katik…

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC

WHO Yatuma Tani 11 za Vifaa Muhimu Kukabiliana na Ebola DRC Shirika la Afya Duniani (WHO) limetuma tani 11 za vifaa muhimu vya matibabu kusaidia juhudi za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa E…

Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vya Ebola

Ugonjwa wa Ebola ni ugonjwa hatari unaosababishwa na virusi vya Ebola. Ugonjwa wa Ebola husababishwa na Virusi ambao wanapatikana kwenye genus ya Orthoebolavirus ndani ya famili ya filoviridae. …

Ebola Yatangazwa Dharura ya Afya Duniani Baada ya Maambukizi Congo na Uganda

Ebola Yatangazwa Dharura ya Afya Duniani Baada ya Maambukizi Congo na Uganda Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mlipuko wa ugonjwa wa Ebola unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo k…

Load More Posts That is All