Celine Dion atokea Grammys 2024 akiwa na muonekano wa tofauti sana wakati anapambana na ugonjwa wa stiff person syndrome
Mwimbaji Celine Dion atokea Grammys 2024 akiwa na muonekano wa tofauti sana wakati anapambana na ugonjwa usiotibika. Mwimbaji mashuhuri wa Canada, Celine Dion alijitokeza kwa gafla katika Grammy…