Utafiti:Umaarufu unapunguza miaka ya kuishi kwa wanamuziki
Umaarufu unaweza kupunguza maisha ya mwanamuziki kama vile kuvuta sigara mara kwa mara, utafiti mpya umegundua, baada ya kulinganisha data kati ya waimbaji maarufu na wasanii wasiojulikana sana.…