Usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) changamoto hatari Zaidi
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa (Uvida) changamoto inayofanya maradhi ya kawaida kuwa hatari kubwa inayotishia maisha, kimya kimya. Kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Af…