Head

Vijana barubaru kukabiliwa Zaidi na changamoto ya Afya ya Akili - WHO

Vi jana barubaru kukabiliwa Zaidi na changamoto ya Afya ya Akili - WHO Kwa mujibu wa Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) uwekezaji wa haraka unahitajika ili kukabiliana na …

Je! unajua kwamba Jua huweza kuimarisha afya yako ya akili?

Je! unajua kwamba Jua huweza kuimarisha afya yako ya akili?  Tafiti zinaonyesha Mwangaza wa jua husaidia kuongeza kemikali katika ubongo wako inayoitwa serotonin, ambayo inaweza kukupa nishati …

WHO: Mtu mmoja hufa kwa kuumwa na nyoka kila baada ya dakika nne hadi sita

WHO: Mtu mmoja hufa kutokana na kuumwa na nyoka kila baada ya dakika nne hadi sita Shirika la Afya Duniani (WHO) siku ya Jumanne lilisema kuwa mtu mmoja hufa kutokana na kuumwa na nyoka kila ba…

Takwimu Mpya;Watanzania asilimia 9% huishi na magonjwa ya kisukari

Takwimu Mpya;Watanzania asilimia 9% huishi na magonjwa ya kisukari Takwimu za magonjwa yasiyoambukiza ya mwaka 2012 inaonesha watanzania asilimia 9 wanaishi na magonjwa ya kisukari huku asilimi…

Uhaba wa maji safi na Salama kuchangia kuongezeka kwa milipuko ya kipindupindu

Uhaba wa maji safi na Salama kuchangia kuongezeka kwa milipuko ya kipindupindu Uhaba wa maji safi na salama na umaskini watajwa kuchangia kuongezeka kwa milipuko ya kipindupindu mwaka jana.  Taa…

Unapoacha kuvuta Sigara,Vitu hivi hutokea

Unapoacha kuvuta Sigara,Vitu hivi hutokea Nini hutokea mara tu baada ya kuacha kuvuta Sigara, kumbuka kadri unavokuwa mbali na Sigara ndivyo afya yako huimarika Zaidi, Kwa Mujibu wa Shirika la A…

kuna Ongezeko la tatizo la Nyonga nchini,hasa kuanzia miaka 50

TAASISI ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford cha Uingereza, imefanya upasuaji wa nyonga na magoti kwa wagonjwa 20,…

Kujifungulia kwenye Maji kwapunguza vifo na maumivu ya uchungu

Kujifungulia kwenye Maji kwapunguza vifo na maumivu ya uchungu Safari ya kujifungua huwa tofauti kwa kila mwanawake, na husheheni uchungu na maumivu kwa viwango tofauti. Wakati mwingine hali ina…

Magonjwa haya yaongoza kusababisha VIFO DUNIANI

TAKWIMU:Orodha ya Magonjwa 10 yaliyoongoza kusababisha Vifo Duniani “Mnamo 2021, sababu 10 kuu za vifo zilisababisha vifo milioni 39, Sawa na asilimia 57% ya jumla ya vifo milioni 68 ulimwenguni…

Muziki dawa ya maumivu makali ya kichwa

Utafiti wa 2022 uligundua kuwa matarajio ya kutuliza maumivu yalikuwa utabiri muhimu,Chanzo Kinachoaminika kilichokuwa kinachunguza jinsi muziki unavyoweza kupunguza maumivu ya kipandauso kilise…

Athari za baba Kunywa Pombe kwa Ujauzito

Athari za baba Kunywa Pombe kwa Ujauzito Kwa zaidi ya miaka 50, wanasayansi wameonya juu ya hatari za kunywa pombe wakati wa ujauzito. Utafiti wa hivi karibuni umegundua kuwa unywaji pombe hata …

Homa ya Ini janga kwa Dunia,Takwimu mpya Zaonyesha

TAKWIMU za homa ya ini duniani zinaonesha zaidi ya watu milioni 240 huugua. Tanzania, watu watano hadi wanane kati ya 100 wanaugua ugonjwa huo, hususan aina ya B na C. Bingwa wa Magonjwa ya Ini …

Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya-WHO

Zaidi ya vifo milioni 3 kila mwaka hutokana na matumizi ya pombe na madawa ya kulevya, wengi miongoni mwao ni wanaume. Ripoti mpya kutoka kwa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaonyesha kwamba vif…

WHO: Zaidi ya wanawake 600,000 kuishi na matokeo mabaya ya UKEKETAJI

Inakadiriwa kuwa wasichana milioni 4.3 walikuwa hatarini kukabiliwa na ukeketaji mwaka 2023. Utafiti huo uliohusisha taarifa zilisowasilishwa na nchi pamoja na asasi za kiraia umebainisha kuwa i…

Kula Matunda Zaidi na Mboga Za Majani husaidia Usingizi?

Kula Matunda Zaidi na Mboga Za Majani husaidia Usingizi? Kula matunda na mboga zaidi kunaweza kuathiri muda wa kulala, utafiti mpya umegundua. Watafiti kutoka Finland hivi majuzi walifanya utafi…

Vyakula vyenye Mafuta Kidogo kupunguza hatari ya Saratani

Vyakula vyenye Mafuta Kidogo kupunguza hatari ya Saratani. Kulingana na Tafiti Mpya,vyakula vyenye kiwango kidogo cha mafuta husaidia kupunguza hatari ya kupata Saratani ya Mapafu Watafiti kutok…

Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu

Plastiki yapatikana ndani ya Korodani za Binadamu Chembe chembe ndogo za Plastiki(microplastics) zinaweza kupatikana  kila mahali,kuanzia Tumboni mwa Viumbe wa baharini hadi kwenye maji ya Kunyw…

Sindano ya kupunguza uzito 'inaweza kupunguza mshtuko wa moyo'

Sindano ya kupunguza uzito ‘inaweza kupunguza mshtuko wa moyo Sindano iliyoundwa kukabiliana na unene wa kupindukia inaweza kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa watu bila kujali k…

Sindano ya kupunguza uzito 'inaweza kupunguza mshtuko wa moyo'

Sindano ya kupunguza uzito ‘inaweza kupunguza mshtuko wa moyo Sindano iliyoundwa kukabiliana na unene wa kupindukia inaweza kupunguza hatari ya mshtuko wa moyo na kiharusi kwa watu bila kujali k…

Testosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza hatari ya vifo, utafiti mpya

Testosterone kuwa chini inaweza kuathiri afya ya moyo na kuongeza hatari ya vifo, utafiti mpya Wataalamu wanasema wanaume wazee wanapaswa kufanya mazoezi ili kusaidia kuweka viwango vya testoste…

Load More Posts That is All