Utajiri wa Elon Musk Washuka kwa kiasi cha dolla billion 15
Utajiri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Tesla na SpaceX, Elon Musk, umepungua kwa kiasi cha dola bilioni 15 kwa siku ya leo pekee baada ya hisa za kampuni ya Tesla kuporomoka kwa karibu asilimia 7 na …